very nice Dream, Slowly Mungu pamoja nasi na tutafika.Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I have a dream!!!
kulala kwetu kunakupa wewe shida gani we kimbia nao!Wabongo bana maneno mingiiiii matendo zero!!!Nyinyi endeleeni kulala tu mpaka ndoto zenu zitakapotimia!!!!!??
Mkuu imebidi nikae nishibe kabla ya kuijibu hoja hii.Hata hivyo kama nchi hatutakiwi tujikite kutafuta permanent friends, but permanent interests. Mwaka juzi Rwanda ilikuwa rafiki mkubwa sana wa Tz. Tungekuwa na uwezo pengine tungejenga reli hadi Kigali. But ona yanayotokea leo. Kwa sasa tunaona kama tumetengwa, but in few years, nchi hizi (including yetu), zinaweza kuongozwa na viongozi wengine, na mambo yakabadilika kabisa.
Tunatakiwa tuwe na solid and bold interests kwenye mahusiano na nchi jirani. Na tujue namna ya kulinda hizo interests. Mahusiano ya Tz na Rwanda, yanatakiwa kuwa mutual relation kati ya watu milioni 45 wa Tz na milioni 12 wa Rwanda, na sio kati ya raisi wa Tz na raisi wa Rwanda. Inapotokea anakuwepo raisi mmoja katika nchi hizi anacompromise interests zetu, inatakiwa tuwe tyumejiandaa jinsi ya kupambana na hiyo hali.... kwa wamarekani CIA na FBI wanahusikaga katika stage hizi ikibidi... Why not us?...
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
[/Q
UOTE]
mkuu inapitia Burundi,fatilia mijadala vzuri.ziwa Tanganyika halifiki juu kabisa ya Burundi.ramani yako ina makosa.
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I have a dream!!!
Mkuu kuna kila sababu kuendeleza na ku mordernize reli yetu ya kati , kuvuka ziwa Tanganyika hadi Kalemie na kuendelea na reli hadi Lubumbashi na kuishia Kinshasa.Ndio maana nasema it is a dream that can be put to practice.Tumekalia utajiri wetu wenyewe. Sasa tuchukue hatua mahsusi kujiendeleza na miradi mikubwa kama hii ya ujirani endelevu.Congo ni kubwa sana na ni nchi amabyo iko vipande vipande, haina naetwork nzuri ya miundo mbinu, hasa barbara Na ReliReli ya Kutoka Tanzania mapka Congo hipo ila naona kama imesinzia tu, Reli inatoka bandarini Dar mpaka Kigoma bandarini na hapo kunakuwa na Meli inayobeba mizigo mpka Kalemie ambapo pia kuna Reli inatoka hapo mpaka Lubumbashi, tatizo ndio liko kwenye ufanisi na kuimodernize hiyo reli, kwani kwa train kutoka Kalemie mpka Lubumbashi inachukua hata wiki mbili, kutokana na uchakavu wa Rail na engine za trainhiyo rail ikiimalishwa ni njia nzuri sana ya kusafirisha mizigo kutoka Katanga Copper belt kwenda asia na ulaya
Mkuu imebidi nikae nishibe kabla ya kuijibu hoja hii.
Hata hivyo jibu lAke ni simple.
Jaribu kuiona the bigger business picture mkuu.
Nisingependa kuingia katika siasa za Tz/Rwanda, kwani hiyo picha hutaiona.
Tufanye biashara HALALI NA ENDELEVU na the sleeping giant - Kongo.
Miundo mbinu ya Kongo ikiiamarika east Konho itafanya bisshars kubwa sana ns Tanzania na Burundi.
Endelea kujidanganya...
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I have a dream!!!
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I.have a dream!!!
Ndugu Tuko; Nilivyofahamu Takwimu yako kuwa kilimo kipewe kipaumbele; Hivyo Uwekezaji wakigeni utachangia kuleta targets za kushibisha ndani (nchini) na kuSupply congo au jirani EA. In that case inatubidii tujipange vilivyo na kukaribisha multiagriculture companies. Maandalizi ya kisasa yanahitajika, na uwezo mmoja wa ushirikiano.Ni kweli mkuu. Lakini tusiunderestimate opportunities za kufanya biashara na watu zaidi ya milioni 70 wa Kenya, Uganda na Rwanda. Ipo analysis fulani ilifanyika Tz siku za karibuni (sidhani kama imeshakuwa published) ambayo ilionyesha kuwa under ideal conditions Tz tunaweza kuzalisha in excess beef kwa Tsh 2000/kg, mchele Tsh 400/kg, mahindi Tsh 150/kg, maharage Tsh 400/kg, sukari Tsh 600/kg na msxao mengine ambayo sikumbuki figure zake.Nilikuwa zKenya majuzi, bei za hivyo vitu hapo juu ni kati ya mara 3-5 ya hizi. Sina uhakika but nadhani ni the same kwa nchi nyingine zote zinazotuzunguka. Nadhani unafahamu kuwa Potentiality ya Tz ni kuproduce kati ya mara 4-10 (na zaidi) ya mahitaji yake kwa mazao niliyoyataja hapo juu na mengine kama ndizi, mihogo, matunda, mtama, alizeti, ufuta nk.Kwa mantiki hii siku tukiweza kuproduce hata nusu ya potentiality yetu tutahitaji soko la nje, na katika hili majirani zetu hawa watakuwa soko zuri lenye garama ndogo za usafirishaji na pengine bila ushuru wa forodha
Mkuu hakuna kitu kisichowezekana kama ari na moyo wa kutekeleza miradi kama hiyo ipo.Mwazo yako ni mazuri, lakini lazima tujiulize maswali haya
1. Kujenga reli kupasua katikati ya Kongo ni ngumu sana kutokana na jiografia ya nchi hii kuwa na misitu minene ya hadi kilometa 1000 yenye mito mikubwa yenye kuhitaji madaraja makubwa sana, hata wabelgiji walishindwa
2.Mipango na mawazo haya mazuri yanaweza kusimamiwa na viongozi wa CCM walioua reli yetu ya kati?
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I have a dream!!!
Mkuu kuna kila sababu kuendeleza na ku mordernize reli yetu ya kati , kuvuka ziwa Tanganyika hadi Kalemie na kuendelea na reli hadi Lubumbashi na kuishia Kinshasa.Ndio maana nasema it is a dream that can be put to practice.Tumekalia utajiri wetu wenyewe. Sasa tuchukue hatua mahsusi kujiendeleza na miradi mikubwa kama hii ya ujirani endelevu.
Mwazo yako ni mazuri, lakini lazima tujiulize maswali haya
1. Kujenga reli kupasua katikati ya Kongo ni ngumu sana kutokana na jiografia ya nchi hii kuwa na misitu minene ya hadi kilometa 1000 yenye mito mikubwa yenye kuhitaji madaraja makubwa sana, hata wabelgiji walishindwa
2.Mipango na mawazo haya mazuri yanaweza kusimamiwa na viongozi wa CCM walioua reli yetu ya kati?
itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,goma imeshikwa na rwandese na waganda sio rahisi kule na reli ikifika kigali itakuwa rahisi kwao kuliko dar es salaam,nafikiri tuweke politics pembeni tuangalie hizi issue kiuchumi zaidi ndio faida ya kweli itapatikana.