MGILEADI JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,621 Reaction score 1,546 Jun 6, 2018 #1 Nachangia picha za zamani za Dar kwa kumbukumbu lilipotoka jiji hili.
Horseman JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 447 Reaction score 392 Jun 6, 2018 #2 Nzuri sana. Kweli miji imetoka mbali. Kkoo ndio ilikua hivyo.
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,835 Reaction score 4,152 Jun 6, 2018 #3 When it was virgin, "wabakaji" wakaiharibu, inasikitisha!!
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Jun 6, 2018 #4 Hizi picha unaezastukia unamuona le mutuz anapita na ka bukta
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jun 6, 2018 #5 New Africa Hotel ilijengwa na Wajerumani, ndiyo hoteli ya kwanza ya hadhi ya 5* enzi hizo.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,920 Reaction score 133,969 Jun 6, 2018 #6 kariakoo 1950s ilkuwa bab-kubwa sio sa h watu wanapakana jasho wakat wa movement
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,118 Reaction score 4,783 Jun 7, 2018 #8 lucas mobutu said: Hizi picha unaezastukia unamuona le mutuz anapita na ka bukta Click to expand... Sasa huu uchokozi [emoji3][emoji3][emoji3]
lucas mobutu said: Hizi picha unaezastukia unamuona le mutuz anapita na ka bukta Click to expand... Sasa huu uchokozi [emoji3][emoji3][emoji3]