Ashford Joseph
Member
- Nov 29, 2018
- 5
- 3
Kama iyo pcha imekua n tatzo apo basi mkuuNaomba nijue kwanza uhusiano wa picha yako na msaada wa hicho unachokiomba
Kama iyo pcha imekua n tatzo apo basi mkuuNaomba nijue kwanza uhusiano wa picha yako na msaada wa hicho unachokiomba
Mkuu mbona unataka kuharibu thread yetu pendwa, hii picha yako ina uhusiano gani na swali ulilouliza?Jaman msaada cfa za kujiunga na vyuo vya ICT {information Communication Technology} na n vyuo gan vinatowa iyo cozView attachment 954996
Okay nmekuelewaMkuu mbona unataka kuharibu thread yetu pendwa, hii picha yako ina uhusiano gani na swali ulilouliza?
Kuanzia post ya kwanza hadi hii yako umeona popote watu wameweka picha zao au hata majengo?
Hili ni jukwaa makini kwa watu kutoa mada ili zijadiliwe na kutatua changamoto mbali mbali. Hatupo hapa ili kuuza sura au kujipatia umaharufu. Futa ujinga wako wa kutumia mitandao, ujifunze taratibu na norms of conduct ya sehemu husika.
Karibu mkuu hili ni jukwaa huru ila lina taratibu zake.Okay nmekuelewa
Hakuna kama DIT,from room 207,block 1 to 112 block 4,mpaka ground floor block 5,mimi ninachoamini hakuna kinachoshindikana kama una nia na ali ya kujifunza
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu hao tausi.Hakuna kama DIT,from room 207,block 1 to 112 block 4,mpaka ground floor block 5,
Na GYM yetu pale chini block 4.acha kabisa,ndani ya DIT,nili enjoy sana.miaka hiyo ya 2000 to 2007,sauti za tausi pale kwenye fence ya CBE,kama zoooote vile
Nashukur sana mkuuuu kwa msaada wakoKaribu mkuu hili ni jukwaa huru ila lina taratibu zake.
Tukirudi kwenye mada yako:
Kwakua hujasema unataka kuingia na level ipi mimi nina assume umemaliza form four unaanza na level ya chini kabisa ambayo ni Astashahada au cheti (Basic technician/NTA 4).
Natumaini una uelewa na mtandao japo kidogo, fungua hii link ya nacte The National Council for Technical Education – Striving for world class excellence in technical education and training
Chini ya navigation menu kuna sehemu imeandikwa focus on ambapo kuna link mbali mbali. Fungua Guidebook sehemu hii itakupeleka kuona program zote zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa nacte.
Hapo utatakiwa kuchagua professional area/field of study, wewe utachagua sehemu iliopo ICT. Hapo itafungua vyuo vyote vinavyotoa hiyo program ikionyesha admission requirements, admission capacity, program duration na ada husika.
Kupitia hapo utaweza kuchagua chuo kipi utaweza kusoma kutegemea na sifa ulizonazo, ada kwa chuo husika na eneo liliopo.
Kama utapata tatizo usisite kuuliza, hili ni jukwaa huru.
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu hao tausi.
Kuna jamaa yetu tulikua class moja ikiwa tunafanya test au final na tausi akalia basi hilo paper jamaa ni lazima afeli hata kama amesoma vipi. Ni imani ambayo alishajiwekea na akili yake ikakubali. So sad yule jamaa hatukumaliza nae pamoja.
Nisaidieni hiyo kitu tafazalWakuu nataka kuja kusoma ufundi simu hapo DIT, Kama kuna mtu anelewa namna ya kujoin hapo aniambie, na muda wa kozi vile vile..
Mkuu upo hapa kulinganisha vyuo ama, unajua lengo la kuanzishwa hii thread?Hamnakituu kazi kulshawatu theory 90% huwez kumshndanisha degree wa DIT na diploma wa ATC
sidhani kama zipo masters hapo ila NIT zipoMSAADA WA MASTERS COURSE WANAZOTOA HAPO DIT
Unaweza ila unaanzia NTA LEVEL 4 HADI NTA LEVEL 6 AMBAYO NDIO DIPLOMA ILA UWE NA UFAULU KWA MASOMO YA SAYANSI KIDATO CHA 4Nina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
Kwa masomo ya sayansi ishakula kwangu. Hakuna foundation course?Unaweza ila unaanzia NTA LEVEL 4 HADI NTA LEVEL 6 AMBAYO NDIO DIPLOMA ILA UWE NA UFAULU KWA MASOMO YA SAYANSI KIDATO CHA 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ipo kwa sasaKwa masomo ya sayansi ishakula kwangu. Hakuna foundation course?