Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Jaman msaada cfa za kujiunga na vyuo vya ICT {information Communication Technology} na n vyuo gan vinatowa iyo cozView attachment 954996
Mkuu mbona unataka kuharibu thread yetu pendwa, hii picha yako ina uhusiano gani na swali ulilouliza?

Kuanzia post ya kwanza hadi hii yako umeona popote watu wameweka picha zao au hata majengo?

Hili ni jukwaa makini kwa watu kutoa mada ili zijadiliwe na kutatua changamoto mbali mbali. Hatupo hapa ili kuuza sura au kujipatia umaharufu. Futa ujinga wako wa kutumia mitandao, ujifunze taratibu na norms of conduct ya sehemu husika.
 
Okay nmekuelewa
 
Okay nmekuelewa
Karibu mkuu hili ni jukwaa huru ila lina taratibu zake.

Tukirudi kwenye mada yako:
Kwakua hujasema unataka kuingia na level ipi mimi nina assume umemaliza form four unaanza na level ya chini kabisa ambayo ni Astashahada au cheti (Basic technician/NTA 4).

Natumaini una uelewa na mtandao japo kidogo, fungua hii link ya nacte The National Council for Technical Education – Striving for world class excellence in technical education and training
Chini ya navigation menu kuna sehemu imeandikwa focus on ambapo kuna link mbali mbali. Fungua Guidebook sehemu hii itakupeleka kuona program zote zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa nacte.
Hapo utatakiwa kuchagua professional area/field of study, wewe utachagua sehemu iliopo ICT. Hapo itafungua vyuo vyote vinavyotoa hiyo program ikionyesha admission requirements, admission capacity, program duration na ada husika.
Kupitia hapo utaweza kuchagua chuo kipi utaweza kusoma kutegemea na sifa ulizonazo, ada kwa chuo husika na eneo liliopo.

Kama utapata tatizo usisite kuuliza, hili ni jukwaa huru.
 
Hakuna kama DIT,from room 207,block 1 to 112 block 4,mpaka ground floor block 5,
Na GYM yetu pale chini block 4.acha kabisa,ndani ya DIT,nili enjoy sana.miaka hiyo ya 2000 to 2007,sauti za tausi pale kwenye fence ya CBE,kama zoooote vile
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu hao tausi.
Kuna jamaa yetu tulikua class moja ikiwa tunafanya test au final na tausi akalia basi hilo paper jamaa ni lazima afeli hata kama amesoma vipi. Ni imani ambayo alishajiwekea na akili yake ikakubali. So sad yule jamaa hatukumaliza nae pamoja.
 
Karibu mkuu hili ni jukwaa huru ila lina taratibu zake.

Tukirudi kwenye mada yako:
Kwakua hujasema unataka kuingia na level ipi mimi nina assume umemaliza form four unaanza na level ya chini kabisa ambayo ni Astashahada au cheti (Basic technician/NTA 4).

Natumaini una uelewa na mtandao japo kidogo, fungua hii link ya nacte The National Council for Technical Education – Striving for world class excellence in technical education and training
Chini ya navigation menu kuna sehemu imeandikwa focus on ambapo kuna link mbali mbali. Fungua Guidebook sehemu hii itakupeleka kuona program zote zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa nacte.
Hapo utatakiwa kuchagua professional area/field of study, wewe utachagua sehemu iliopo ICT. Hapo itafungua vyuo vyote vinavyotoa hiyo program ikionyesha admission requirements, admission capacity, program duration na ada husika.
Kupitia hapo utaweza kuchagua chuo kipi utaweza kusoma kutegemea na sifa ulizonazo, ada kwa chuo husika na eneo liliopo.

Kama utapata tatizo usisite kuuliza, hili ni jukwaa huru.
Nashukur sana mkuuuu kwa msaada wako
 
Mkuu umenikumbusha mbali kuhusu hao tausi.
Kuna jamaa yetu tulikua class moja ikiwa tunafanya test au final na tausi akalia basi hilo paper jamaa ni lazima afeli hata kama amesoma vipi. Ni imani ambayo alishajiwekea na akili yake ikakubali. So sad yule jamaa hatukumaliza nae pamoja.

Hahah.. huyo jamaa namjua na inawezekana hata wewe pia nakufahamu.. Nakumbuka akilia tu anaweza kuacha hata pepa akatoka nje

Anakwambia ndo basi tena pepa hili nishafeli
 
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom