Dar Es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

maigajr

Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
55
Points
125

maigajr

Member
Joined Nov 9, 2018
55 125
CTO ulivyo zitaja izo sehemu umenifurahisha sana, kijiwe changu cha kusomea ilikua ni C.B.E na I.F.M ah ah ah! Ukinikosa huko nipo room block v wapi mzee Liondo na Mkilamwene na Dr. Saa nane walikua wanafanya wanafunzi hatulali
Ha ha aaa liwondo mikwara Mingi balaa... Ila mkiramwen complicator ha ha aa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

maigajr

Member
Joined
Nov 9, 2018
Messages
55
Points
125

maigajr

Member
Joined Nov 9, 2018
55 125
Hivi bado wanna ile Tabia YA kuchelewesha vyeti? Yaan mtu unasubiria mwaka mzima. Binafsi walinifanya NikAkosa kazi mwaka JUZI kwa kuchelewesha vyeti. Ila Mwaka JANA nikapata . DIT ni chuo kizur ila saiv wameanza usanii mwingi sana... Practical PIA zimepungua. Saiv story nyingi sanaaa... Nani Yale mabafu YA block3 cjui km Wamerekebisha ha ha aa.. Block 5 ndo kabisaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Osama mziray

New Member
Joined
Jan 27, 2019
Messages
2
Points
20

Osama mziray

New Member
Joined Jan 27, 2019
2 20
Je
1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
Kama ana C ya esabu na D ya phy, chem, bio, geog, eng, kisw na F ya civ na hist apo inakuaje
 

Sniper don

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
294
Points
500

Sniper don

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2018
294 500
haaa! Mkuu ndo unajua leo???? Kama umeenda hapo ukawa unapiga blah! blah! Mwisho wa siku ukaja na kiproject chako cha kizushi lazima utaumbuka tu kwenye kukitetea mbele ya jopo la malecturers na lazima utarudi kujipanga upya la sivyo habari ya degree ama diploma utaisikiaga tu!
That's gud...hongeren sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sniper don

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
294
Points
500

Sniper don

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2018
294 500
1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
Thanks boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 

iphonex82

Senior Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
118
Points
250

iphonex82

Senior Member
Joined Apr 16, 2019
118 250
Wakuu nataka kuja kusoma ufundi simu hapo DIT, Kama kuna mtu anelewa namna ya kujoin hapo aniambie, na muda wa kozi vile vile..
Hzo course za Eagle wings hazipo DIT kama amepiga fresh Math, Physics, Chemistry/ English mwambie akomae na Telecommunication Engineering ila kumaliza DIT salama ni jambo la Kumshukuru Mungu.
 

iphonex82

Senior Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
118
Points
250

iphonex82

Senior Member
Joined Apr 16, 2019
118 250
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
Kama O'level ulifaulu kwa ngazi ya C haya masomo unaweza
Mathematics, Physics, Chemistry/English otherwise huwez kusoma course yoyte DIT. Na diploma ya DIT ni miaka 3 ata kama ulifaulu f6 ila hukupata chance ya kujiunga na Bachelor.
All the best
 

Forum statistics

Threads 1,380,722
Members 525,856
Posts 33,777,752
Top