Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Hiyo hapo list but ni kwa batch 1 tu
IMG-20181029-WA0011.jpg
IMG-20181029-WA0010.jpg
IMG-20181029-WA0009.jpg
IMG-20181029-WA0008.jpg
IMG-20181029-WA0007.jpg
IMG-20181029-WA0004.jpg
IMG-20181029-WA0003.jpg
IMG-20181029-WA0017.jpg
 
Hivi kwa mwanafunzi aliyesoma A level PCB, hakuna fani ya Degree anayoweza kuisoma hapo DIT?
 
hakika engneers wote waliotoka DIT na wanaoendelea kutoka hapo huwa hawana mchezo kazini na huwa wapo tayari kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi kwa wakati au kabla ya wakati
''kuwa na bidii katika ukifanyacho'' ni utambulisho wa mwana DIT, mfumo wa masomo unakufanya uwe hivyo maana ukizembea kidogo unaliwa kichwa. Kipindi tunasoma test 1&2 zilikua hazina siku maalumu mwalimu anaweza kuingia class kwenye kipindi cha kawaida mara ghafla akaghairi na kutaka twende DH kufanya test hapo hakuna muda wa maandalizi so kama hukusoma kabla ujue imekula kwako. Kwa kuwa tulikuwa wachache ukifika DH kila mtu anakaa meza ya peke yake then inarukwa meza moja ndio anakaa mwenzako (nadhani meza za DH mnazifahamu) kufaulu hapo ni lazima uwe umesoma au kuwa mbunifu na mthubutu
Hali hiyo ukienda nayo kazini au ukiwa umejiajiri ni lazima utafanikiwa kwa ukifanyancho. Ni mengi ya kusema ila DIT inakufunza mambo mengi katika maisha ukiachana na masomo.
 
Hahahaha electrical na cvl pale wanaongoza kwa kudsco
Nimesoma Electrical mkuu hiyo hali naifahamu vizuri OD tulianza 120+ ila tuliomaliza tulikua kama 57 kwa BENG tulianza 130 ila tulimaliza 65. Kwa jinsi walimu walivyokua wanakaza unaweza kufikiri ni mpango maalumu maana idadi ya wanaomaliza huwa kama ni sawa au ipungue kidogo haijalishi wingi wa walioanza ( nimelifuatilia hili kwa intake kama 4)
 
Nilijua hilo mkuu,,,nimesoma pia pale,,ila nilikuwa Civil department,,,hz department mbl ni ishu sana,,,kuna wazee humo kukushika yy haon tatzo,,,ulikuwa OD ngapi mkuu??
 
Jamaa zangu wengi walikua wa Civil wakianza kumzungumzia D.R Singo na Dr. Musagasa wanavyowasumbua mimi najiliwaza zangu na Dr. Saanane. Nilikua OD 10 & BENG 14 mkuu, long live DIT.
 
Dr Singo hafai yule,,nilikuwa na wana pia wa elect weng wao walikuwa wanamsema Mkilamwena,,,Aisee mm nilikuwa 09
Mkilamwene alikuja kupoa alipotufundisha intake yetu maana mabalaa yake tulikua tunayasikia,nilishangaa sana mbona kapoa hivi.
Alikua na kawaida kwenye kipindi chake anatoa quiz maswali 10+ yenye vipengele kibao muda ni dakika 10 tu. Ajabu hakuna swali lolote la kwenye quiz litakalojirudia test 1,2 au final exam kila mtihani kwake ni maswali mapya. Mitihani yake ilikua mirefu mno maswali kibao yenye vipengele lukuki.
Siku moja kipindi nipo OD tulikua tunafanya test DH tukachanganyika na OD wengine waliokua wanafanya test yake (Mkilamwene) nikamsikia anawafanyia masahihisho (correction) swali la 6f daah aliniacha na mshangao yani swali moja lina kipengele hadi f na yote ni maelezo hakuna kuchagua hiyo siku ndio nikamfahamu Mkilamwene ni nani.
 
Aisee,,Bhasi huyu ndio Mkilamwen mzee alikuwa noma sana kpnd hcho washikaj wa elect walikuwa wanamlalamikia sana.
 
''kuwa na bidii katika ukifanyacho'' ni utambulisho wa mwana DIT, mfumo wa masomo unakufanya uwe hivyo maana ukizembea kidogo unaliwa kichwa. Kipindi tunasoma test 1&2 zilikua hazina siku maalumu mwalimu anaweza kuingia class kwenye kipindi cha kawaida mara ghafla akaghairi na kutaka twende DH kufanya test hapo hakuna muda wa maandalizi so kama hukusoma kabla ujue imekula kwako. Kwa kuwa tulikuwa wachache ukifika DH kila mtu anakaa meza ya peke yake then inarukwa meza moja ndio anakaa mwenzako (nadhani meza za DH mnazifahamu) kufaulu hapo ni lazima uwe umesoma au kuwa mbunifu na mthubutu
Hali hiyo ukienda nayo kazini au ukiwa umejiajiri ni lazima utafanikiwa kwa ukifanyancho. Ni mengi ya kusema ila DIT inakufunza mambo mengi katika maisha ukiachana na masomo.

mimi ninachoamini hakuna kinachoshindikana kama una nia na ali ya kujifunza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom