kwame nkuruma jr
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 301
- 639
kwa wale waliosoma dit ni changamoto gani kubwa ambayo hutoisahau katika kipindi chote cha kusoma wakati ukiwa chuoni.?
Changamoto kubwa ili kuwa kupata cheti kwa watu walio soma FTC na ADE.