Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
Hivi kwa walioomba diploma Pale DIT, selection zinabandikwa chuoni ama?... Maana hadi leo hawajatoa selection na wakati vyuo vingine wametoa second round kabisa na inaisha jumapili... Huu mfumo mbovu sijapata wahi kuona... Apo kama wakitoa selection na hujachaguliwa it means vyuo vingine vinakuwa vishafungwa udaili unabaki nyumbani tu unashindwa hata kuomba kwingine.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app