Dar Es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

lamar69

Member
Jan 13, 2018
42
95
Kwa wenye uzoefu na chuo chetu hichi naomba nijue ili mtu aretake inabidi awe amekosa qualification zipi?Sent from my iPhone using JamiiForums
 
le zombie

Senior Member
Jul 1, 2019
168
250
Kwa wenye uzoefu na chuo chetu hichi naomba nijue ili mtu aretake inabidi awe amekosa qualification zipi?Sent from my iPhone using JamiiForums
Either hujafikisha CA au umeshindwa kuchomoa Sup.Ambapo inategemea uko mwaka wa ngapi.
Maana kuna miaka mingne una carry ukishndwa kuchomoa Sup na mingne una retake
Ila kutokufikisha CA ni retake ya moja kwa moja bila msaada mwingine wwte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,902
2,000
Either hujafikisha CA au umeshindwa kuchomoa Sup.Ambapo inategemea uko mwaka wa ngapi.
Maana kuna miaka mingne una carry ukishndwa kuchomoa Sup na mingne una retake
Ila kutokufikisha CA ni retake ya moja kwa moja bila msaada mwingine wwte

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona umempinga jamaa hapo juu while ameongea the same kama wwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
handsomezombie

JF-Expert Member
Sep 27, 2018
303
500
Either hujafikisha CA au umeshindwa kuchomoa Sup.Ambapo inategemea uko mwaka wa ngapi.
Maana kuna miaka mingne una carry ukishndwa kuchomoa Sup na mingne una retake
Ila kutokufikisha CA ni retake ya moja kwa moja bila msaada mwingine wwte

Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea kama alivyoongea jamaa hapo juu uliempinga
sema umedadavua vizur sana zombie mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
641
1,000
Long live DIT!

From Mtafya, Mwansele to Msumba, Mama Nzowa, Ngomuo, Mtangoo to Mburuma, Malongo, Msigala to Tesha. Mambo ya Mzee wa "Conjugate", Kibani Mzee wa Kazi.... Daah! Long live "Mawasiliano Angani" na Mama Kabadi.

Missing you mtaalam wa TDTS na TV and Video Technology marehemu Ngole.... How is Korea mzee Paeng Kim? Nijiandae niende DH lakini dada Vicky atanipa msosi wa kutosha kweli? Au acha niende tu Canteen....lakini ni CBE au DIT? Nikasomee C2 au B14? Au niende A-Block? Library iko wazi leo?

Nitapita nimsalimie Pascal Chisongela na Alex Bunzu halafu nitapita block V nimcheck Booz mzee wa Arsenal anipe matokeo ya EPL. Kabla ya hapo nitapitia kwa Buchwechwe Muchunguzi kisha nitamtext mwalimu Omary nione kama Basic Telecommunication nina supp au nimepita. Wapi Justice Lubuwah, John Bomba? Kesho test ya Hesabu za mzee wa white suit dah!...

Nitapita block II ili niwasalimie Upendo wa Kenneth, Happy, Ikunda na Vale: halafu nitapitia block III nicheck watu wa Mecha kama hawajagombana leo ili niende zangu A block nimplekee madaftari mzee wa kutoboa ........

Salute to all Departments: Mecha, Tele, LabTech, Electrical, Civil......!!
DIT!.... Long live DIT!
Rest In Peace Dave Luhala!

BH, DIT Alumni.
Umepasahau pond mzee wa kazi
 
babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,639
2,000
Either hujafikisha CA au umeshindwa kuchomoa Sup.Ambapo inategemea uko mwaka wa ngapi.
Maana kuna miaka mingne una carry ukishndwa kuchomoa Sup na mingne una retake
Ila kutokufikisha CA ni retake ya moja kwa moja bila msaada mwingine wwte

Sent using Jamii Forums mobile app

carry mwisho mbili tu zikizidi ni retake na hiyo ni kwa beng diploma hawana carry ukishindwa kuchomoa sup unarudia mwaka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom