Dar es salaam inachanganya sana

Wewe ndio unajichanganya

Tafuta Post Code Kutoka TCRA

Kuna Kata na Miata.

Sinza ni kata yenye Mitaa 6 Ambayo ni Sinza A,B,C,D na E

Kijitonyama ni Kata yenye Mitaa 8 Ambayo ni
Mtaa wa kijitonyama, alimaua A & B, Mpakani A na B, Bwawani, Mwenge na Nzasa.

Mikocheni ni Kata yenye Mitaa mitano 5 Ambayo ni mikocheni A na B, Regent estate , Al Hasan mwinyi na TPDC.

Hadi hapa utakuwa unajua Kila ulichouliza hapo juu Kiko sehemu gani
 
Eti stendi ya Mawasiliano ipo Sinza sio Ubungo
 
Halafu City Center wakuja wote wanaita posta. Iwe Kisutu, Gymkhana, Samora Avenue, Shaaban Robert st. mtu anakwambia niko posta huku...dah.
 
Eti jamani Tegeta ipo ndani ya Goba au Goba ipo ndani ya Tegeta?
 
Halafu City Center wakuja wote wanaita posta. Iwe Kisutu, Gymkhana, Samora Avenue, Shaaban Robert st. mtu anakwambia niko posta huku...dah.
Ni sahihi wako posta.ukitaka kujua yupo mtaa gani ndio anataka aidha kisutu,au samora nk.
Au nakosea
 
Hii kidogo naijua angalau
Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
 
Keko Magurumbasi, Keko Machungwa, Keko Toroli, Keko Mwanga, Keko Matimila, Keko Juu, Keko Nashinali (National)..

Halafu
 
Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Basi bora wangekuwa wanataja mmoja mmoja utaskia msimbazi na uhuru, ndanda na aggrey, arusha na lindi, mwanza na dodoma, sikukuu na livingstone, huo mji wenu ishini wenyewe mkipoteza kiatu kimoja kwenye kugombania mwendokasi inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…