1. Bamaga ipo Mtaa wa Mwenge, Kata ya Kijitonyama, Wilaya ya KinondoniHivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
Basi utakuwa upo ofisini tu .yule mwamba sio posta sio kariakoo.vichochoro gani havijui.πππ kuwa mtu wa system haifanyi nijue mitaa yote ya kariakoo me sio winga
Rudini tu kijijini.mnachekesha humuHivi mtu akikwambia Nipo TANDAMTI NA LIVINGSTONE anamaanisha kwamba yupo Kwenye MAKUTANO ya hiyo mitaa au inakuaje mbona Ukifika Pale huoni kma yupo ktk makutano ila utamkuta yupO TANDAMTI Au LIVINSTONE Kabisa na si makutano hpo Huwa sielewi?
Oy njia ya msasani mandazi road inaweza kumfikisha mtu uwanja wa fisi.Uwanja wa fisi ipo Manzese au Tandale? π
Msasani maandazi load Ndio njia gani hiyo mkuuOy njia ya msasani mandazi load inaweza kumfikisha mtu uwanja wa fisi.
Basi wewe siyo mwenyeji zamani kulikuwa na mtaa unaitwa mandazi road ulikuwa ni uswahilini unakuta mandazi yanauzwa mtaa woteMsasani maandazi load Ndio njia gani hiyo mkuu
Load n nn?Basi wewe siyo mwenyeji zamani kulikuwa na mtaa unaitwa mandazi load ulikuwa ni uswahilini unakuta mandazi yanauzwa mtaa wote
Sina mbavu hapa πRudini tu kijijini.mnachekesha humu
Huwa natumia mfumo wa simu kuandika hivyo kuna makosa yanatokea RoadLoad n nn?
Oysterbay Police ipo Oysterbay lakini Namanga ipo Msasani πππHivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?
Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
πππLoad n nn?
Nenda kajifunze kutofautisha L Na RHuwa natumia mfumo wa simu kuandika hivyo kuna makosa yanatokea Road
Na we pia ndo wale wale, tofautisha Kinondoni wilaya na Kinondoni kata.Masaki ipo Kinondoni, Oysterbay ipo Kinondoni, ila utasikia mtu anakwambia siwezi kaa kinondoni nakaa oysterbay upepo unqpovuma π€£
Kwa nini kwani kuna kosa mimi niki tumia kiswaili na wewe ukatumia kiswahili πNenda kajifunze kutofautisha L Na R
Kweli wewe mbaga kwani mimi umesikia nikitaja kata ya kinondoni, mimi nimetaja kinondoni.Na we pia ndo wale wale, tofautisha Kinondoni wilaya na Kinondoni kata.
Ww HujitambuiKweli wewe mbaga kwani mimi umesikia nikitaja kata ya kinondoni, mimi nimetaja kinondoni.