Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,716
- 11,401
Bongolala, Dar Ni kubwa hata kwa New York. So inamaanisha Dar ni jiji limeendela kushinda NY just because it has a bigger geographical area? Mambo mengine ni kutumia tu akiliWakiambiwa ukweli hawapendi, kuna mkunya mmoja eti anafananisha Nairobi na Dar kwa ukubwa, utakuta anaweka vipicha vyake vya Kisutu eti ndo analinganisha na Dat
Zaidi ya nusu ya Nairobi ni pori na mbuga, unataka kushindana na jiji ambalo ni most urbanized