Loh. . . pole sana.
Mi najua huduma ya kwanza kabisa ni kufunga juu kidogo ya ulipogongwa ili sumu isisambae, au hata hiyo tu walishindwa?
Asante sana Smile..kwaiyo hapa tunaongea na mwafirika wa sumu ya nyoka?
pole sana mkuu
Kweli kabisa kaka hawa jamaa sijui vipi, niliwamaindi sana tu basi maumivu ndio yalinizuia kuwafanyia kitu mbaya..Pole sana mkuu, yaani badala ya kukutibu wao wanakazana umeumia ukiwa wapi? Kama walitaka Police RB c wangekwambia?
kwaiyo hapa tunaongea na mwafirika wa sumu ya nyoka?
pole sana mkuu
Unamaanisha nilitegeshewa??
dar wao ngono tu..ungetaka msaada wa kuteguka nonino kwenye ajali ya ngono..ungepata haraka.
kijana au ulikutana na nge? Sumu ya nyoka sio ya kitoto ujue