Na kweli akipata upenyo ataishangaza mahakama.Hapana asidharauliwe akipata upenyo kidogo tu... Anaweza kuleta majanga makubwa.... Kumbuka hana cha kupoteza kwasasa kwahiyo si ajabu anapanga kuua tena
Ndugu mshanaHe is revealing his true inside....
Ndio.Watampiga!Hana cha kupoteza. Kuna siku atawavulia nguo zote. Bado mtampiga picha?
Nashangaa anapelekwa mahakamani kama vile vibaka wa kuku ilihali jamaa anatuhuma za kumuua mkewe kinyama kisha kumchoma moto!,Wakimwachia upenyo itakuwa upuuzi wao.
Huyo ni psychotic. Ameshaonyesha kasoro kichwani kwa kupiga mkwara huo mbele ya vyombo vya dola. Anatakiwa awekewe shackles za mikono na visigino.
Tayari damu ya marehemu mkewe inamnukia unadhani anapata usingizi?Ndugu mshana
,Muuaji wa kikatili hivi mbona yuko salama hadi sasa...wauaji wa hivi mzimu wa marehem hua haumuachi salama...au ndo mwisho wake unakaribia
mrangi huwa sidharau kitisho hasa cha mtu kama yeye.... Kumbuka bado yuko hai na bongo yake kwa sasa muda mwingi anawaza uovuHuyu jamaa ni serial killer
Any way atawafanya nn waandishi aache mikwalaa, akumbuke yuko nyuma ya nondo tu na wakimleta mahakamani yuko Ndani ya bangili
Ova
Wakimwachia upenyo itakuwa upuuzi wao.
Huyo ni psychotic. Ameshaonyesha kasoro kichwani kwa kupiga mkwara huo mbele ya vyombo vya dola. Anatakiwa awekewe shackles za mikono na visigino.