Daniel Mgogo: Pesa sio kitu ya kumnyima mwanamke mwenye wowowo

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
"Kuna mabinti wanaishi mjini hawana kazi yoyote, hawana duka, wala Saloon lakini anaishi maisha ya juu kuliko wale mabinti wanaojishughulisha kwasababu anaikuta mijanaume mizembemizembe huku mitandaoni anaiokota hela anakusanya hela za kutosha'

"Yeye kila siku anaamka na ubunifu, leo kapiga picha kaachia nani yake nyuma mara kaachia mapaja wanaume madenda yanawatoka hela zinaenda tu, mnasema huyu binti anajidhalilisha wakati mwenzenu yuko kwenye biashara na wanunuzi ni wale ambao hawezi kukutana nao wala kuonana nao lakini wanamtumia mihela"

"Kuna wanawake wamejenga nyumba, wamepanga majumba ya mamilioni kwasababu ya pesa za mijanaume yenye tamaa halafu yeye ametulia na mpenzi wake wanapanga michongo wamenunua simu nzuri mwanaume anampiga mpenzi wake picha za mitego wanazirusha mitandaoni pesa za mijanaume mijinga zinaingia wanaishi kwa raha, wanaume zindukeni, lakini pesa sio kitu ya kumnyima mwanamke mwenye wowowo."- Daniel Mgogo.
 
Hao ni wauza k tu hakuna janja janja zaidi ya kuuza mwili
 
Hauzi kei anaiba kimtandao ukijilengesha anakupiga Ila kwa wenye Pesa sio wewe pangu pakavu wewe akikugundua huna kitu hakupigi chochote, hua wanafanya research and development kuhusu victim wanaetaka kumpiga
 
Victim dah goja niendelee na series yangu inaitwa criminal mind aisee neno victim limetajwa sana humo
 
Hauzi kei anaiba kimtandao ukijilengesha anakupiga Ila kwa wenye Pesa sio wewe pangu pakavu wewe akikugundua huna kitu hakupigi chochote, hua wanafanya research and development kuhusu victim wanaetaka kumpiga
Sio kweli anakudanganya maana Dar Malaya ni wengi na wateja ni wachache huwezi kutapeli kwa njia hiyo mpaka uishi maisha mazuri hapa mjini
 
Sasa mwenye pesa ndo kabisa hawezi pigwa maana ana access Malaya wazuri sehemu za starehe kuliko hao wa kwenye mitandaoni Tena hajui wako wapi
 
Hakuna niliposema sio Malaya Ila nimesema hauzi kei in short ni Malaya Ila sio Malaya Koko,
 
Sasa mwenye pesa ndo kabisa hawezi pigwa maana ana access Malaya wazuri sehemu za starehe kuliko hao wa kwenye mitandaoni Tena hajui wako wapi
Mjomba hujui jinsi wanavyowapiga husasani wazungu kwenye mahotel makubwa n meshakwambia sio Malaya Koko km hujanielewa huwezi kunielewa kwamwe na kingine ni Siri mimi navujisha Siri za watu zinazowafanya waishi Mjini na waenjoy Maisha
 
Nakwambia Tena hao sio matapeli Bali ni wauza uchi kama kama ni dada zako basi wamekudanganya
 
Back
Top Bottom