Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

We Bilionea wa Mchongo wacha urongo na Chai... hiyo ni taarifa ya 2014 kipindi hicho hata mzee wa Msoga hajatoka madarakani. Sasa hapa kuna mawili... aidha ni Uongo, kujikweza na chai au hilo danguro bado lina-operate shughuli zake as-ussual 🤔... nijuavyo wahindi wengi wanajiuza kwa siri sana Upanga na Postal

Ahsante kwa taarifa, itashughulikiwa
Sawa sawa, zipo ila kuzigundua kazi sana .na mtu mweusi utaingia kwa shida sana
 
Back
Top Bottom