Dangerous gonjwa jipya

Dangerous gonjwa jipya

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
well nafkiri nisiwachoshe sana niende kupiga wazi hii maada gonjwa linaitwa FACEBOOK ADDICTION yaani uraibu wa facebook wengi wenu mnalo ila ni vigumu kuliju bila kujuzwa symptom zake ni hizi zifuatazo

1.kusisimka kwa mwili kila unaposikia au kuona anything about facebook
2.kuwa na wakati mgumu vocha inapisha nina jamaa alibeba shuka langu akalipiga mnada kisa vocha
3.kuwa na mazoea ya kununua daily bundles kwa ajili ya facebook
4.kuwepo kwa majonzi iwapo meseji utakayotuma haita jibiwa ndan ya dakika 30
5.kuwa na marafiki zaidi ya 400 uliowatumia friend request na mara nyingi wengi huwajui NB SIO WALIOKUMBA URAFIKI
6.kuchelewa kulala kwa ajili ya facebook
7. kuvisit face book zaidi ya mara 8 kwa siku (kipimo caha bangi ni kete ila hiki ni 7 shots per day)

MADHARA YAKE UKIENDELEA
1.kukaka kazini au shuleni kwa ajili ya kuchelewa kulala
2.kutumia facebook zaidi kuliko masomo hii husababisha kufeli
.
 
Poleni wote mliopatwa na hilo gonjwa. Lakini sidhani kama hapa kutakuwa na tabibu. Hata MziziMkavu pamoja na tiba zake za mananasi na tangawizi sijui kama ataweza. Ngoja aje aseme yeye mwenyewe aseme.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hilo nigonjwa dogo gonjwa kubwa lipo hapa JF mimi bila kuperuzi naona nimepitwa nakitu simu pc laptop lazima zitumike kwenye browsing JF
 
Kweli wewe maamuma! Lol

Gonjwa la jf je? Isipopatikana jf hewani namtumia msg invisible kule fb, namuuliza vipi mbona nyumbani kumebebwa na mafuriko?
Poleni wote mliopatwa na hilo gonjwa. Lakini sidhani kama hapa kutakuwa na tabibu. Hata MziziMkavu pamoja na tiba zake za mananasi na tangawizi sijui kama ataweza. Ngoja aje aseme yeye mwenyewe aseme.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hilo gonjwa la facebook sipo maana hakuna jipya huko,mi gonjwa langu jf,kama nipo hm na umeme hamna jaman siboreki jf inaniburudisha,sinunui gazeti kwa maana jf ni gazeti langu,na sihitaji doct anitibu wala ushauri,sababu nimefall inlove na huu ugonjwa ,poleni mnaougua na ugonjwa wa facebk
 
Generation ya sasa inakazi ya kukabidhiana na mambo mengi kwa wakati mmoja!
 
mh, me jf addicted... yan nikikosa kubrowse nahisi nimemiss kitu flan kuja kugundua kumbe jf... lmao!
 
mh, me jf addicted... yan nikikosa kubrowse nahisi nimemiss kitu flan kuja kugundua kumbe jf... lmao!

...Hauko pekee yako CG wengine waliwahi kuomba wapewe ban maana shughuli zao muhimu zilikuwa zinalala kutokana na addiction kali ya JF.... mie nashukuru Mungu baada ya REHAB sina tena gonjwa hilo 🙂🙂
 
mie hata sijielewi, ila nikiona error 531, hata uhausi hakuna siku hiyo.

Kama na fb ni tamu kama jf, sitaki hata kujiunga, siwezi kuwa na magonjwa mawili makubwa hivi.
 
du bora nimeliepuka huko fb maan cjawahi hata kuvutiwa nako
 
mim sina addiction ya popote,
Im in love with JF kuliko mitandao mingine yeyote ila JF hainizuii kufuata raiba zangu,
Kwangu mim muda wa kuwa JF ni ule muda ambao sina mambo ya muhimu ya kufanya.
Nikiwa na ratiba zangu za muhimu hutaniona humu,poleni wagonjwa.
 
Kweli wewe maamuma! Lol

Gonjwa la jf je? Isipopatikana jf hewani namtumia msg invisible kule fb, namuuliza vipi mbona nyumbani kumebebwa na mafuriko?
King'asti awali ya yote nakubali mimi maamuma. Lakini hapo kama ukinisoma kwa makini nilikuwa namshtua mwanzisha mada ameliweka bandiko lake mtaa usio sahihi (JF Doctor). Nashukuru mods wameliona hilo maana uzi umehamishiwa mtaa sahihi. Kuhusu gonjwa, me langu ni JF. Kwangu naona ni gonjwa sugu. BTW sie tunaotumia simu za bei rahisi kuchangia mada tuna shida. Maana kuandika hadi ueleweke, yataka moyo. Nakushukuru. Kwangu mimi, anayenikosoa ni RAFIKI. Pamoja daima!
 
Last edited by a moderator:
...sa ugonjwa wa fb wauleta jf?...tuna magonjwa yetu humu na sisi...tujadili ilo la fb la nini?
 
Back
Top Bottom