Danganya toto ya harusi za kitanzania...

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
DSC08270.JPG

Nyingi huwa hivi.....
 
Wakitoka hapo ni madeni na kuishia kwenye chumba au nyumba ya kupanga. Kwa nini uteketeze milioni 20 kwa usiku mmoja wakati hata kiwanja wala nyumba huna?

Igeni mifano kwa nchi zilizoendelea muone harusi zao watu wa kipato cha chini wanavyofanya simple. Na hakuna michango, kukodisha hall, send off, kitchen party, vunja kamati na taka taka zoote.
 
Ati? These pple go as far as getting a credit line/bank loan to help them finance their weddings and you think waigwe? Si ni bora hata hiyo michango! Ila that aside, I do agree kuhusu the irrationality of splurging all that money on one day while you have nothing.
 
mi hapo naona kitumbo, sioni kingine....wizi mtupu, washachakachuana weee
 
Wakitoka hapo ni madeni na kuishia kwenye chumba au nyumba ya kupanga. Kwa nini uteketeze milioni 20 kwa usiku mmoja wakati hata kiwanja wala nyumba huna?

Igeni mifano kwa nchi zilizoendelea muone harusi zao watu wa kipato cha chini wanavyofanya simple. Na hakuna michango, kukodisha hall, send off, kitchen party, vunja kamati na taka taka zoote.

Yoyo anamaanisha kwamba unga wa bibi harusi umeshaumuka.......:mimba:
 
waacheni watu wafanye mambo yao wanavyotaka wao na sio mnavyotaka ninyi, Mungu angetaka mfanye mapenzi yake kwa nguvu angewalazimisha ila amewaacha muamue wenyewe mnavyota ila hakuna neno ambalo mtaacha kulitolea hesabu yake!
 
mie pia naona kitumbo tu cha kawaida kwa harusi za siku hizi..
 
Wanaita kujaribisha kama kitu kinakamata, si unajua siku hizi kushusha Injini imekuwa mtindo,,, kwa hiyo huwezi jua kama injini bado inafanya kazi au la mpaka uitest....
 
waacheni watu wafanye mambo yao wanavyotaka wao na sio mnavyotaka ninyi, Mungu angetaka mfanye mapenzi yake kwa nguvu angewalazimisha ila amewaacha muamue wenyewe mnavyota ila hakuna neno ambalo mtaacha kulitolea hesabu yake!
Mungu hapendi watu waoane wakiwa katika hali hii......mwanaume na mwanamke wameshajuana kimwili na kutunga mimba
 
Wee hizo ni imani za dini yako tu hiyo ya kuletwa... hii sherehe imefanyika Bongo chini ya tamaduni zetu na si tamaduni za warumi, wagiriki, waebrania, sijui wayahudi wa miaka hiyoooo 2000 na ushee iliyopita!! Waache mabinti wa watu waishi maisha yao (huko mikomikoB' sijui..) bana!
 
Halafu nyingi zinafungwa kwa vigezo kwamba tumbo limekuwa ndindi ndi haiwezekani kuliacha likue bila mwenyewe
 
Back
Top Bottom