Danganya mwenzako

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
C lengo langu kukudanganya ila na wewe mdanganye mwenzako...

Juzi niliambiwa na bibi niwashe moto nikatafuta makaratasi sikupata..akanipa noti ya sh 5000 niwashie...

Kwetu tuna nawa mikono na soda kabla ya kula...
 
C lengo langu kukudanganya ila na wewe mdanganye mwenzako...

Juzi niliambiwa na bibi niwashe moto nikatafuta makaratasi sikupata..akanipa noti ya sh 5000 niwashie...

Kwetu tuna nawa mikono na soda kabla ya kula...

Hummer la baba lilikuwa chafu sana alitoka nalo safari nairobi maji yalikuwa yamekatika ikabidi tukanunua katoni za maji ya kilimanjaro tukalisafisha likawa safi balaa
 
Baba yangu amenunua bahari ya hindi anataka aihamishie K,njaro.
Kwetu sisi tunakunya keki
aaah,alafu nimekumbuka kuna mtu alinisms ngoja nimchek,...aaaaagh,kumbe ni 50cent,huyu jamaa msumbufu eti anataka nimkopeshe
 
...eti Mwanaasha anataka aanze twisheni kwangu arudie masomo, nikikataa babaake ataita wazee azungumze nao. Sasa sijui nimfundishe au nipotezee tu!
 
... Nina tuhisa twa asilimia 22 kwenye tule tukampuni twa Bill Gates. Nataka niuze tuasilimia tuwili tu,tuhela nitakachopata nichangie jf. Kama kuna jf member anahitaji ani pm please !
 
Nimefukuzwa home, kisa nilisaikopesha serikali ya marekani asilimia 50 ya bajeti yake mwaka jana.
baba amewasamehe ila amenipa lesson kwa kunipangia floor nzima MOVENPICK nitulize mawazo.
 
Serikali ya China na Serikali ya Tanzania leo wanatia saini za makubaliano wa kuhamisha wananchi wote wa Tanzania na kuwapeleka China na wanachi wote wa China waje Tanzania. Lengo la makubaliano hayo ni wananchi wa China kujenga Uchumi wa Tanzania ambao umedorora sana. Mkataba huo unaonyesha kuwa baada ya miaka 20 yaani 2042 ndio mwisho wa mkataba na wanachi wote watarudi katika nchi zao kama kawaida. Zaidi ya 90% ya Wachina wametishia kujinyonga kwa madai kuwa serikali yao haiwajari kwa sababu kwa wanavyowafahamu watanzania kwa hiyo miaka 20 watakayokaa nchi yao itakosa hata kiwanda cha kutengeneza kiberiti.
 
kudadadeki,mlima kilimanjaro waibukia kariakoo halaf mchek jamaa anakata ghorofa kwa wembe.
 
Mimi ndo mmiliki wa Jf nataka niimilikishe kwa CDM maana sa iv naenda marekani kwenye jumba langu la kifahari pale Los Angeles kuishi huko.
 
Baba yangu amenunua bahari ya hindi anataka aihamishie K,njaro.
Kwetu sisi tunakunya keki
aaah,alafu nimekumbuka kuna mtu alinisms ngoja nimchek,...aaaaagh,kumbe ni 50cent,huyu jamaa msumbufu eti anataka nimkopeshe

Hapo kwny RED hapo: Hivi unajua aliyechimba shimo la kuweka Bahari ya Hindi ni baba yangu then akamuuzia mdingi wako?
 
nimenunua helkopta ila nimeamua kuachana nayo maana nimeimisi foleni ya daslamu!
 
kikwete yupo ir na jana alinipitia hapa job nikampa gari yangu apigie misele akaigongesha kwny kisamvu... namtafuta
 
Back
Top Bottom