wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,