Damu za watz zilizomwagika huko DRC zitakugharimu hadi kufa...

Ruzibiza

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
563
195
wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,
 
Nanren

JF-Expert Member
May 11, 2009
1,877
2,000

Unatokea sehemu gani ya Rwanda?
 
JustDoItNow

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,970
2,000
wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,

Husijitetee, kipigo mpaka kigoli. Kagame tutamfanyia kitu mbaya kama Idd amin tulivyomshughulikia
 
kabavamwo

Senior Member
Mar 8, 2013
171
195
wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,

Zile ulizoziona EASTERN DRC ni mvua za rashasha, bado za masika utazishuhudia ikulu ya kigali. Sisi ni wabongo bwana, tulibarkiwa kwa kumtoaa madarakani kiongozi aliyekuwa kama hitler barani africa aliyejulikana kama nduli idd amini na baraka hiyo lazima itufuate mpaka tutakapomtoa hitler wa rwanda yaani slim boy.Unajua bwana, ukishabarikiwa kumtoa dikteta mmoja baraka hiyo lazima ikufuate tu, utamtoa na mwingine na mwingine pia kwa sababu Mungu anazidisha ile roho ya kuwahurumia watu wanaonyanyasika. Hivyo, damu za wanajeshi wetu zinamwagika kishujaa ili kusimamimisha zile za raia wa drc, hivyo ni sadaka nzuri inayo mpendeza Mungu na isikuumize kichwa
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
Jina lako tu ni uthibitisho wewe ni Mnyarwanda,uko wapi tukukamate tukupe adhabu za kijasusi?tukung'oe meno na koleo
 
PAPA OBAMA

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
204
225
Jina lako tu ni
uthibitisho wewe ni Mnyarwanda,uko wapi tukukamate tukupe adhabu za
kijasusi?tukung'oe meno na koleo
kaka umekosea jakwaa huku ni jamii forums bongo ulitaka kapost rwanda news agent hapa sio ila heri ya mwaka mpya 2014 LOADING.....................
 
Ruzibiza

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
563
195
Zile ulizoziona EASTERN DRC ni mvua za rashasha, bado za masika utazishuhudia ikulu ya kigali. Sisi ni wabongo bwana, tulibarkiwa kwa kumtoaa madarakani kiongozi aliyekuwa kama hitler barani africa aliyejulikana kama nduli idd amini na baraka hiyo lazima itufuate mpaka tutakapomtoa hitler wa rwanda yaani slim boy.Unajua bwana, ukishabarikiwa kumtoa dikteta mmoja baraka hiyo lazima ikufuate tu, utamtoa na mwingine na mwingine pia kwa sababu Mungu anazidisha ile roho ya kuwahurumia watu wanaonyanyasika. Hivyo, damu za wanajeshi wetu zinamwagika kishujaa ili kusimamimisha zile za raia wa drc, hivyo ni sadaka nzuri inayo mpendeza Mungu na isikuumize kichwa

kweli?aisee nangojea hio siku kwa ham
 
Ruzibiza

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
563
195
Jina lako tu ni uthibitisho wewe ni Mnyarwanda,uko wapi tukukamate tukupe adhabu za kijasusi?tukung'oe meno na koleo

mmenikosa, kungoana meno ni maisha yenu ya kawaida siyo lazima niwe mnyarwanda,
swali, Dr. U..Mboka ni mnyarwanda?DR. Mvungi (R.I.P) ni mnyarwanda? brother Abby Kibanda ni mnyarwanda wa province gani?au bro Mwangosi (R.I.P) alikuwa mnyarwanda wa sehemu gani?
Happy New year
 
sikajiji

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
586
195
wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,
Unatafutwa kwa kuhusika na mauaji ya kimbari
Rwanda_genocide_wanted.jpg
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,951
2,000
Hueleweki mkuu!!!
wakati wengi wakishabikia safari ya congo wakiwa na ujinga kichwani na wengine wakipongeza hizo juhudi na kusema mguu huo hadi kigali walilenga safari hiyo iliihusu Rwanda....leo hii wacongo wanapinga serikali wakidai wamechoka kutawaliwa na mnyarwanda...sasa damu iliyomwagika kwa lengo la kumuondoa rwanda congo imemwagikia nini? je, wacongo waliulizwa wanataka nini kifanyike?nina wasiwasi,,,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom