Damu yamwagika kawe na polisi consistance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu yamwagika kawe na polisi consistance

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bulunga, Oct 27, 2010.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  HABARI ZA MAGAZETI ZINASEMA Mtu Mmoja kwa jina La Mushi alifanya funjo katika kampeni za uchaguzi jimbo la Kawe kwenye mkutano wa CCM, (obvious hakuwa mwana CCM) mtu huyo ali pigwa na wafuasi wa CCM na kuwekwa ndani na polisi, huko Mauti yalimkuta akiwa sero, AJABU ni kuwa hadi leo hakuna mtu aliekamatwa,kumbuka Maswa hadi leo kuna watu zaidi 10 wanatuhumiwa kwa mauaji ya dereva wa CCM, Hata Shibuda ambaye hakuwepo kwenye vurugu hizo alishikiliwa na polisi kwa muda mrefu, inakuwaje Leo mgombea wa CCM asiwekwe ndani akisubiri uchunguzi wa polisi ikizingatiwa kuwa yeye alikuwa akihutubia hapo. POlisi wanasema Mushi aliwapiga watuhumiwa wengiwe huko sero na alijibamiza kichwa kwenye ukuta, hatujamsikia Manumba wala Kova kwenda au kuzungumzia hili, UTENDAJI WA POLISI MBONA HAUKO CONSTISTANCE
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kARIBU JAMII FORUMS Home of great Thinkers,

  Au umebadilisha jina?
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndo Tanzania ndiyo maana tunahitaji mabadiliko
   
 4. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Hutakaa uone Manumba huko mzee tena afadhali yametokea matokeo yanayofanana ya vyama viwili tofauti. Hutaona tume wala nini kwani hii serikali ina double standard kwa ufupi tu. uonevu ni mkubwa sana nchi hii
   
 5. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Let the game begins
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo kwenye red sijaelewa. Ila unachosema ni kweli kabisa, huyu kwa kuwa amekufa kwenye mkutano wa CCM ametajwa kuwa alienda kufanya fujo wakati yule wa Maswa naye alienda kupiga muziki kwenye mkutano wa chama pinzani (kuwachokoza) na wala nabii Makamba hajapeleka upuuzi wake pale.
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  taarifa zingine bana
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Yeah::: Marehemu yupo hospitali ya Mwananyamala na asubuhi yote ya leo Maafisa wa polisi kutoka Tegeta/Kawe Police Stations (OCID/OCD/e.t.c) walikuwa nje ya ofisi!
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  alimaanisha consistent.
   
 10. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ungetumia hata kiswahili chake hapo kwenye red! lakini ujumbe umefika na ninaamini polisi katika siku hizi zilizobaki watakuwa fair kwa raia wote maana wao ni walinzi wa usalama wa raia na si walinzi wa chama chochote cha siasa!
   
 11. b

  bulunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ni CONSISTENCE, kiswahili chake unaweza kutapika:bowl:
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  huu ndio utoto wa jf punguzeni uchildish
   
 13. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapokosoa fikiria sana kwanza: consistency

  Tanzania ni nchi ambapo sheria inatumika dhidi ya maskini na watu walioko nje ya system
   
Loading...