Damu ya mtu hunuka


Tukitoka kwenye perspective ya kawaida,huenda pia kuua mnyama sio sahihi.

Inawezekana pia huu umwagaji damu baina ya binadamu ni kutokana umwagaji damu kwa wanyama maksudi.

Kuchinja ni kuua, kuua ni kutoa uhai

Je mnyama hana haki ya kuishi kama ilivyo kwa binaadam ?
 
Je mnyama hana haki ya kuishi kama ilivyo kwa binaadam[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Umenikumbusha Kitabu kiitwacho "Bado Mmoja" kikiwa na mauaji mfululizo na kila ilipokutwa maiti ya mtu pembeni yake kulikuwa na karatasi yenye tangazo "bado mmoja"
Mauaji hayo yalikuwa yakifanywa na MTU aitwaye "Marcus Sayuki"
Unaeza nisaidia PDF yake mkuu.
 
Naona wakorea wana liona Hilo pia, wame Anza kutoa documentary au cinema.
👉Kuhusu Aina ya watu tulio nao, Kuna wagonjwa wengi- even I huwa naji kemea Nikiwa na hasira
Hivi tuna serial killer huko nyumbani kweli na wanajulikana?
Na kwanini huwa hakuna documentaries za mauwaji bongo? Wakati kila leo kuna mauaji kwani ingesaidia sana kuepuka
Mkuu nakuombea mema tu
Hasira zipo ila tunajizuia tu wengi ila yasifike huko
 
Kuhusu serial killer Hawa wapo, ni vile tu hatuja gunduana.
👉Katika ngazi zote kuanzia mtu, familia, jamii na hata nchi kwa ujumla.

Wengine nadhani huanza kwa kuchukia kudhihakiwa, so ana ona the only solution ni ku deal na wabaya wake.
Katika ngazi ya familia-, nasikia Wanawake wa kimachame ni mabingwa wa kuwa tanguliza waume zao.
👉Ili wabaki na mali, fatilia nba ni kubwa mno kule ( Mshana Jr atakuwa ana jua hili.
 
Asante, nimekuelewa ila nasubiri comment ya Ndugu Mshana
 
Asante, nimekuelewa ila nasubiri comment ya Ndugu Mshana
Naweza kujibu halafu jibu langu likabananishwa na mambo ya kisiasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaribio yafanyike kwenye damu yako ili tuprove kunuka kwa damu ya mtu
 
Kwel Rama mla watu akitoka na amekua raia mwema na mara ya mwsho kumuona alkua ameokoka sasa sjui kama Bado yupo ndan ya wokovu au alirudia ya kale ,lakn baada ya kutoka kweny mahojiano nligundua alkua anatumikishwa na wachawi' kulko kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…