Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Mshana unaliongeleaje swala la kugegedana wakat mwanamke yuko kwa hedhi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Damu ya hedhi iliyotumiwa kwa mtu katika kahawa yake au chai ni kichocheo cha uhuru cha kukamata nth kimapenzi. Hakuna ibada, sala, au kuomba sio muhimu; Unaongeza tu damu ya hedhi kwa kahawa ya mtu au chai. Wazo ni kupata harufu yako katika nyanja ya mpendwa wako na ufahamu wake. Hii hufanywa sana na wanawake.

[emoji40]
 


[emoji40][emoji40]

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Mshana siku moja utueleze kuhusu uhusiano wa tarehe ya kuzaliwa na majina ya ukoo na masuala ya kiroho kuna uhusiano gani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mshana Mimi kuna jamaa angu alinambia hii n dawa ya limbwata kama mkeo kakupa limbwata ukinywa Damu yake ya hedhi unatapika uchawi wote.

Sasa kumbe n SUMU au sometimes inaweza kuwa dawa na muda mwingine SUMU?
kweli utatapika lakini si dawa ya kuondoa uchawi!
Dawa ya kuondoa uchawi mwilini uwe ulipewa na mke au mume au yeyote yle ni HAJA NDOGO YA MZAZI WAKO WA KIKE
 
Preferable mbichi epuka kabisa kuexpose ile kitu si kwa mchawi tu hata adui
ndiyo maana zamani watu walikua wanatumia vitambaa na kuvifua ili kuepusha hili ila siku hizi ukienda tuu barabarani unakutana na lungo la pedi .binafsi nikikutana na mwanamkea aliye chinja kuku kwakeli nitamchukia na baadae uhusiano unakufa hiyo ilikua kabla sijaoa ila kwa sasa nipo occupied.
 

naheshimu maono yako na opinion yako but naona kama haina akili zaidi ya kile usichokijua. Kwa namna nyingine usipends kuonge kitu ambacho haikifahamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…