Dalili za ushoga....

Kabla ya kuchagua jina hilo alikuwa akiitwa BWABWA.

zi!

Mkuu Bazazi,naweza kusadiki na majibu yako kwani Boflo kaishia tu kunipa like kwenye swali langu baadala ya kutiririka ili hali kajaa tele hapa kama bwabwa/pishi ya wali!!!!! (nimetumia kiswahili fasaha,no offense at all!!)))))
 

Mtume shoga kumtambua shoga mwenzake!
 
Ni nani huyo jamaa au yule ananziwa na jina la O? jamani jamani hebu japo siku moja tuu nionane naye, au wewe vipi kuonana na wewe?
Mimi ukinitaka utanipata lakini mashine sio kubwa kiviile vilevle sina mpango na madem coz wananishobokea mpaka najisikia kichefuchefu c unajua mi bonge la hb:A S 39:
 
Aisifuye mvua...................................
 
Stop bashing gay people
 


Yani uko right sana, ukisha ona mtu anaponda sana ma gayna ana zungumzia sana magay huku kujinadi sana anajua kudo, basi weka question mark ni dalilikubwa ya ugay . Watu wengi wako bisexual na huwa gulty pale wanapo ona wanaweza tambulika kwahiyo huwa wakali sana kutaka wasihusishwe na ugay. Huyu anatumia njia rahisi na ya kawaida kuficha ugay kw akujilewesha , hiyo ndio njia inatumika sana kukwepa having sex with a female, angalau anajaribu kuweka jamii isiwe na mtizomo wa kigay, namsikitikia sana huyo jama, an ajaribu sana na moyoni ana umia sana kujiona yeye ni gay huku akitamani sana awe straight awe normal akubalike kwnye jamii lakini ukweli unabaki pale pale yeye ni gay.
 

Wewe mbona una hangaika sana, kama unanitaka sema tuu, nita kupa chohcote utakacho tena nita jituma haswa .
 

Huwezi kuwa unafanya unafiki, una gombana kila mara, muongo sana, mdokoaji halafu utegemee watu wasikuseme kuwa wewe hufai.
Huwezi kuwa na tabia za kike halafu watu wakudhanie wewe ni riziki...
 
Teheteheeee mbona dalili nyingi zinafanana mkuu wa kaya( aka Vasco Da Gama, mzee wa magogoni
 
mbona mi ninazo zote lakini si shoga
 
Huwezi kuwa unafanya unafiki, una gombana kila mara, muongo sana, mdokoaji halafu utegemee watu wasikuseme kuwa wewe hufai.
Huwezi kuwa na tabia za kike halafu watu wakudhanie wewe ni riziki...

Wengine wamezalima wana hormone za kike lakin sio Gays wanajaribu kujizuia mingine mbona imezaliwa rijali kabisa lakin wanagawa???

Regards,
Jonathan.
 
Wengine wamezalima wana hormone za kike lakin sio Gays wanajaribu kujizuia mingine mbona imezaliwa rijali kabisa lakin wanagawa???

Regards,
Jonathan.

Matendo hudhihirisha yaliyoko ndani, kama nguo zako chafu huwezi itwa msafi wa mwili
 
mmmh hapa siongei kitu maana wanaume wenyewe mwasema wachache afu wanaoana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…