Dalili za ushoga....

... Hyo namba 4... simo.. lilejamaa la Dar stand up linahusika..
 
BTW, hivi Tibaijuka anajichubua au ni rangi ya picha tu? namuona ITV na nahisi ni mteja wa carolight
 
Kwa hiyo hapa ni soko gani...
 
umekosea sana.hyizo sio dalili ila ni mashoga kabisa.dalili kwa wale wenye kujificha,ambao hawapendi jamii iwajue ni:
-huwa mara nyingi wanakuwa mstari wa mbele kupinga suala la ushoga{hii ni kama kuficha udhaifu wao}
-kwenye 6 kwa 6 kuna demand wanakuwa wanazitaka ambazo sitoweza kuziweka humu maana sio jukwaa la kikubwa
-na wanapomuona shoga huwa ndio wa kwanza kuwapa za uso na hata wanaweza wakawatukana hao mashoga
 
umekosea sana.hyizo sio dalili ila ni mashoga kabisa.dalili kwa wale wenye kujificha,ambao hawapendi jamii iwajue ni:
-huwa mara nyingi wanakuwa mstari wa mbele kupinga suala la ushoga{hii ni kama kuficha udhaifu wao}
-

Kwahiyo mkuu hizi nchi zinazo pinga sana ushoga tuzielewe vp?
 
kupenda taarabu mh sikubaliani na hili basi waimba taarabu wote wangekuwa mashoga
 
Ila mwanaume nicki muona MBA Huyo na muona Shoga 101/ na sasa awe anavaa mlegezo ndio kabisaaaaa!
 
bila shaka yule mlopokji wa chama cha mabwepande ni shoga maana hizi sifa nyingi anazo..
 
Kama zote hizo ni dalili za ushoga dunia haina tena wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…