hebu nijuze ni kitu gani anachokitaka niwe na tahadhariDalili hizo kwa miaka hii adimu sana ukiona hivo ujue tu kuna kitu anakitaka toka kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unafikiri pesa zitatoka kiurahisi bila kuongea sauti ya kubana pua....Anadenguaaaa, eti hadi nimbembeleze, huo muda wa kukaa nabembelezana nae nautoa wapi mimi!!! [emoji57]
Mkuu fafanua hii
Asante
Ni majukumu yako hayo ujue!Sasa wewe unafikiri pesa zitatoka kiurahisi bila kuongea sauti ya kubana pua....
Mimi ningekupa sema nitaingilia majukumu ya mtu tu.
Inamaana sasa hampendani?Nimemiss hizo enzi za wapendao hivyo...dah!
TehNi majukumu yako hayo ujue!
Ndio nishachoka kumbembeleza, simbembelezi tena. Akijisikia atume asipojisikia pia poa tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh
Nimekuelewa saana hadi nimeona aibu basi nitatuma japo mimi haujawahi kunibembeleza
Unavyonishushuaga...[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jamani mbona nakubembelezaga sana!!!!
Mimi huyu huyuuuuuuu nikushushue kaka yangu kipenzi!!Unavyonishushuaga...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
SichelewiMimi huyu huyuuuuuuu nikushushue kaka yangu kipenzi!!
Hebu usichelewe kutuma hiyo pesa basi.