Dalili Za Mvuta Bangi

Last edited by a moderator:
Baba V, nakumiss ujue.
Bishanga ananifatafata.
Mpe adhabu kali iwe fundisho.

E bana na mie nakumiss kwa sana aisee, huyo Bishanga umzoee tu, ana stress, si unajua FINCA wamepiga mnada nyumba zake mbili amebakiwa na ile moja kule Makoka, afu niko pande za kwenu Kino clan kama upo karibu we "nidip"
 
Last edited by a moderator:
E bana na mie nakumiss kwa sana aisee, huyo Bishanga umzoee tu, ana stress, si unajua FINCA wamepiga mnada nyumba zake mbili amebakiwa na ile moja kule Makoka, afu niko pande za kwenu Kino clan kama upo karibu we "nidip"
Nimekusikia,we endelea uone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…