Ukiona Madame B anam PM bishanga,mara amnunulie zawadi.....ujue si bure .....kuna ki2
Ukiona Madame B anam PM bishanga,mara amnunulie zawadi.....ujue si bure .....kuna ki2
Ukiona paka analia nyau nyau bila kuona samaki,
ujue kuna ki2.
Precisely mkuu!Ukiona paka analia nyau nyau bila kuona samaki,
ujue kuna ki2.
Mbona unaongea kitu kisichowezekana?Ukiona mwanamke anaolewa na wanaume watano kwa wakati mmoj ujue kuna kitu.
NgongingoHapo Bujibuji ulikuwa unamaanisha tukunyema au..??
Ukiona Tembo na Twiga wanakimbia pori, ujue kuna ki2
Ukiona Tembo na Twiga wanakimbia pori, ujue kuna ki2
Ujue kuna kinana
Na je? Ukikutana na mtu anapiga mluzi , huku akiwa na Karanga ama Kisheti mdomoni ?
YNNAH like this...
upo wewe bnt? Ni jana tu nimewaza uwepo wako humu.