Dalili Za Mvuta Bangi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1.Ukiona mtu anapenda kutembea na vibiriti lkn sio mvuta sigara ujue kuna k2

2.Ukiona mtu anampenda bob marley lkn apendi reggae ujue kuna k2


3.Ukiona mtu anazungumzia kwenda south africa ikiwa hata nauli ya kumfikisha karaikoo hana ujue kuna k2


4.Ukiona mtu ugomvi wake wa silaha ujue kuna k2


5.Ukiona mtu aeleweki cku nyingine mpole cku nyingine mkali ujue kuna k2


6.Ukiona mtu anampenda tupac lkn apendi hip hop ujue kuna k2


7.Ukiona mtu___________
 
Na je? Ukikutana na mtu anapiga mluzi , huku akiwa na Karanga ama Kisheti mdomoni ?
 
Ha ha haa ha, ujue kuna vi2.

Midomo mikavu afu myeusi ujue kuna ki2

Ukiona vidole vya mikono vina magwambara karibu na kucha ujue kuna ki2
 
Na je? Ukikuta bin-adamu anajiita jina la mnyama? Afu potelea mbali basi angejiita kwa majina ya ma-giant animal ! Hataki anajiita kwa majina ya vimnyama smol-smol !
Kuna nini hapo?



Ukiona hivyo ujue ni Rangi ya Chungwa tu kaka..
 
Ukiona Madame B anam PM bishanga,mara amnunulie zawadi.....ujue si bure .....kuna ki2
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…