nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Simu ukiwa home kabatini ndio mwake. Ukiacha hovyo watoto watachezea. Lol.
kuwa kimada nayo inahitaji uvumilivu.cm mpaka akupigie khaaa!ukimmiss??wa kwangu analaza cm yake kabatini.vp naibiwa nn??