Dalili za meme kuwa na mwanamke mwengine nje!!

Bondpost unazumngumziaje hizo nyingine apart from kuchelewa?? Mi naona amejitahidi. Kwa kweli cheater utamjua kwa tabia yake ya wasiwasi hasa kuhusu simu na sms zinazoingia mkewe akiwa around. Kuna jamaa (mme wa rafiki yangu) yeye simu zake akiwa na mkewe outing anaziweka mezani zikiwa zimetazama chini zote na bado zina password. Ila ashukuru Mungu amepata mke mstaharabu; mi kwangu hakuna cha password wala simu kutazama chini na ni haki yangu kujua aliyekupigia simu Or else inabidi uchague simu (privacy) au mimi.

Huyo ni ***** tu. Mie hata namba yangu huwa sitoi, na sina simu nyingi, line yangu toka ananifahamu na huwa jina langu halisi sitaji, mara naitwa Mabondo, Shangali etc. Sitaki mazoea na mtu. Tunakutana wkend unakula bia, nachuja then chukua time. Mke wangu mwenyewe anatoa kwa wiki mara moja, niking'ang'ania anatega tu kama landmine anasubiri nimalize sasa cha kufia nini wala sitaki tugombane, wanangu wanahitaji mama yao aliyeolewa, na simuachi, wala sigombani nae kisa mbunye! Kitu gani bana! Mie uwezo wangu mkubwa sitaki kugombana nae. Ila rules zangu ndo hivyo, no real name, no my number, u wont know my real work place and where i reside! Tunamalizana then usinitafute nitakupigia as long i have your number. Na ukipata boyfriend just tell me ukitaka kuolewa nitakuchangia. In short sitaki mazoea, mke wangu nimetoka nae mbali toka napanda daladala mpaka leo hata nauli sijui ni ngapi. Cha kumbana na mke wangu kisa sex ni kitu gani? Mwache ajiridhikie kupata mume kama mie! Ha ha ha! Maisha mazuri bila ugomvi, cha kujionyesha mbele za watu kuwa una nyumba ndogo nini!
 
kimada haoni shida make anae bf wake wa kutoka nae wakat wowote, ye yupo kwa mme wa mtu kimaslah zaid. kha lakn kwa mwendo huu ukimwi hauishi! ukute bf nae anacheat na msichana mwingne kwa condition huyo msichana nae ana wake. duh jooob true true!
 
nimecheka sana kuhusu hiyo red hapo! ataachaje kuwa na furaha wakati ametoka kutimiza haja zake?
kwa mtazamo wangu ukiona anafanya hayo ujue anae mwanamke lakini mwanamke mwenyewe ndio hao vinuka mkojo wasio elewa maana ya 'uhawara' hawara mstaarabu mnawekeana kabisa 'terms and conditions' za relationship yenu na akijua kuwa uko maeneo ya karibu na mke halali wala huwa hasumbui kwa simu wala nini! atuulize sie wazoefu hawara miaka kibao na hakuna kokoro kwa mke wa mume wote ndoa zinaendelea poa tu tena palipo na tatizo tunashirikishana na kurekebishana ili kuleta amani nyumbani kwa kila mmoja wetu

nimeipenda sana hii nafikir Asprin atakugongea like manake yy ndo babu wa cheat responsibly.
 
Last edited by a moderator:
Kwa masharti hayo usije ukawa unachukua ma bar maid au sex workers. Lol.

Huyo ni ***** tu. Mie hata namba yangu huwa sitoi, na sina simu nyingi, line yangu toka ananifahamu na huwa jina langu halisi sitaji, mara naitwa Mabondo, Shangali etc. Sitaki mazoea na mtu. Tunakutana wkend unakula bia, nachuja then chukua time. Mke wangu mwenyewe anatoa kwa wiki mara moja, niking'ang'ania anatega tu kama landmine anasubiri nimalize sasa cha kufia nini wala sitaki tugombane, wanangu wanahitaji mama yao aliyeolewa, na simuachi, wala sigombani nae kisa mbunye! Kitu gani bana! Mie uwezo wangu mkubwa sitaki kugombana nae. Ila rules zangu ndo hivyo, no real name, no my number, u wont know my real work place and where i reside! Tunamalizana then usinitafute nitakupigia as long i have your number. Na ukipata boyfriend just tell me ukitaka kuolewa nitakuchangia. In short sitaki mazoea, mke wangu nimetoka nae mbali toka napanda daladala mpaka leo hata nauli sijui ni ngapi. Cha kumbana na mke wangu kisa sex ni kitu gani? Mwache ajiridhikie kupata mume kama mie! Ha ha ha! Maisha mazuri bila ugomvi, cha kujionyesha mbele za watu kuwa una nyumba ndogo nini!
 
Sasa yote hayo yanafanywa na mke wangu. Simu password afu anaiweka uso chini. Yaani kila kitu ulichoandika hapo juu yy ndo zake. je naye nimweke kundi gani sasa?
 
Unatakiwa uulize ni jinsi gani utakamata mwizi na si kundi la kumweka mkeo. Unaibiwa kaka!

Sasa yote hayo yanafanywa na mke wangu. Simu password afu anaiweka uso chini. Yaani kila kitu ulichoandika hapo juu yy ndo zake. je naye nimweke kundi gani sasa?[/QUOTE]
 
Nashukuru sana kwa kunipa mwangaza maana kama ndo naona manyoya sasa. hapa lazima kaliwa tu. Nyie mnachukulia utani. wakuu sio utani ni kweli tupu
 
Simu....simu....simu...jamani simu hizi zinatuvunjia ndoa.
Mimi nauliza kama mwanaume huwa hagusi handbag ya mke,we mke kwenye simu ya mmeo unatafuta nini.Ujue sa ingie wafanyakazi ma ofisini huwa wanatumiana meseji za utani,sasa ukikumbana nazo si utapanic?
 
namjua prof mmoja,yeye hajawahi kuchelewa nyumbani,lunch anakula kwake maana si mbali na chuo,anampenda mkewe kupitiliza,honey,baby ndo usiseme,tena mkewe ni bingwa wa kumsifia mumewe hata mbele za watu,tena huwa anamwambia mume wake jinsi mashoga zake wanavyowalalamika waume zao kulala nje,na kuchelewa kurudu na umalaya,mwanamke anamsifia mume !!simu yake mkewe anauhuru nayo muda wowote akiwa home,laptop picha kubwa ya mke na familia,lakini jamaa ni mkali wa totooos!haya mambo ndugu hayana fomula,tuombe tu mungu!
Nadhani umewa-under estimate wanaume sana! Hata naweza nisichelewe nyumbani kwani lunch time inatosha kumaliza mchezo! Jioni nawahi zangu home! Saa nyingine naweza kumalizia mzigo ofisini, kwisha habari.
 
usimgeuzegeuze sana nyoka,unaweza kukuta ana miguu ukafa kwa mshtuko!unadhani yupo ambae hana wanawake nje?wachache sana!
 
Nawaonea huruma wanawake waloolewa na ma-cheater!Mke wangu Kaunga ana raha sana!
 
namjua prof mmoja,yeye hajawahi kuchelewa nyumbani,lunch anakula kwake maana si mbali na chuo,anampenda mkewe kupitiliza,honey,baby ndo usiseme,tena mkewe ni bingwa wa kumsifia mumewe hata mbele za watu,tena huwa anamwambia mume wake jinsi mashoga zake wanavyowalalamika waume zao kulala nje,na kuchelewa kurudu na umalaya,mwanamke anamsifia mume !!simu yake mkewe anauhuru nayo muda wowote akiwa home,laptop picha kubwa ya mke na familia,lakini jamaa ni mkali wa totooos!haya mambo ndugu hayana fomula,tuombe tu mungu!

hahaaaa, huyu hawajui binadamu. kuna wanandoa ninawafahamu, wanaletana ofisini na kupitiana jioni kila ukiwaona kama kumbikumbi mke na mume, huwa huyu mke anatushangaa sie tunaotumia magari kila mtu lake, eti yeye haoni sababu ya gharama za mafuta wkt wanaweza kushare na mume afterall hana misele ya ajabu na ndio njia ya kumdhibiti mume. lakini mimi nawafahamu mabibi 2 wa huyu kaka na mmoja kazaa nae na wanamuona kama ATM maana anawafinance kwa kila kitu, anaaga anasafiri kumbe yuko mikocheni mapumzikoni kwa hawara na huyo hawara kaapa hatamuacha anae zaidi ya miaka 6! mie huwa namtizama mkewe anavyojitia kamdhibiti mume naishia kuchekea chini chini, bora sie kila mmoja njia yk nikikutana na mume ni kuwashiana tu taa!
 
umeona eeh!

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom