Dalili za meme kuwa na mwanamke mwengine nje!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili za meme kuwa na mwanamke mwengine nje!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pindima, Jun 7, 2012.

 1. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mjue mume aliyekuwa ana
  mwanamke mwengine
  1)Kuchelewa kurudi nyumbani
  bila sababu za msingi
  2)Overtime kazini zinazidi kumbe
  hayuko kazini
  3)Simu haikai chini mpaka chooni
  pengine anaingia nayo
  4)Simu anaitia pin number
  ukimwambia nipe pin yako ugomvi
  5)Simu inawekwa silence
  anapokuwa nyumbani au kuzimwa
  kabisa ili ikipigwa wewe usiisikie
  6)Akiwepo kwenye computer
  ukimfata tu mara ghafla
  hubadilisha na kurukia kwengine
  na hasa akiwa anachat husign out
  haraka
  7)Ana sim card zisizopunguwa
  tatu na hizo ukimuuliza hujifanya
  za biashara na mbali nyengine
  ambazo wewe huzijui
  8)Anaporudi kwa kimada huwa
  mwenye furaha na mkarimu sana
  kwako na hapo hata umwambie
  nibebe mgongoni unipeleke
  Mwembemakumbi kwa mguu
  atakupeleka
  9)Ukimuuliza kwanini umechelewa
  kurudi au ukiulizia chochote
  kwanini una sim card nyingi au
  nipe pin ya simu anakuwa mkali
  sana na ugomvi
  10)Anapokuwa kwenye computer
  au simu hukutupia jicho la
  pembeni kama anakuchungulia
  kumbe ana lake
  11)Kwenye simu yake huwa
  kasave majina tafauti mfano
  Mayasa kaliweka Khamis au Boss
  au Dude
  12)Akisha kuchelewa kurudi
  hujibabaisha na pengine hata
  pete ya dhahabu utanunuliwa
  ilimradi usahau kule kuchelewa
  kwake
  13)Huaga anaenda kazini kumbe
  yupo off anaelekea kwa kimada
  15)Mara nyingi simu yake haikai
  messages zinafutwa na missed
  call,received,Dialled zote hufutwa
  16)Akilala simu huwa chini ya mto
  au haichezi mbali
  17)Anapotuma vimessage huwa na
  wasiwasi huku anakuchungulia
  hujidai kuzungumza na wewe
  lakini maneno hayaelekei na
  unachomzungumzisha kumbe akili
  yake haipo iko kwenye kimada's
  message
  Nadhani zipo nyingi nyengine
  hazikuoredheshwa nawe tupia zako na hata dalili za wanawake kuwa na jamaa mwengine!!
   
 2. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Anaweza asifanye hata moja ktk hilo na akawa nae au akawanao hawa viumbe waajabu sana mungu kawajalimbia mbinu,unaweza kuletewa mtoto wa miaka 10 na hujawahi kuona tofauti zozote...
   
 3. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :clap2::clap2::clap2:
   
 4. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yatakiwa uwe makini nae huenda hujawahi kumsoma vizuri!!
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Umjejitahidi....jaribu tena!!
   
 6. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nadhani umewa-under estimate wanaume sana! Hata naweza nisichelewe nyumbani kwani lunch time inatosha kumaliza mchezo! Jioni nawahi zangu home! Saa nyingine naweza kumalizia mzigo ofisini, kwisha habari.
   
 7. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Ah nimechoka nafsi yangu hawasomeki haoo....
   
 8. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mhh vp hakuna lililokugusa kaka!!
   
 9. m

  muhanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nimecheka sana kuhusu hiyo red hapo! ataachaje kuwa na furaha wakati ametoka kutimiza haja zake?
  kwa mtazamo wangu ukiona anafanya hayo ujue anae mwanamke lakini mwanamke mwenyewe ndio hao vinuka mkojo wasio elewa maana ya 'uhawara' hawara mstaarabu mnawekeana kabisa 'terms and conditions' za relationship yenu na akijua kuwa uko maeneo ya karibu na mke halali wala huwa hasumbui kwa simu wala nini! atuulize sie wazoefu hawara miaka kibao na hakuna kokoro kwa mke wa mume wote ndoa zinaendelea poa tu tena palipo na tatizo tunashirikishana na kurekebishana ili kuleta amani nyumbani kwa kila mmoja wetu
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  hivi meme ndo jina jipya la wanaume?
   
 11. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Makosa tu ya uandishi kaka!!
   
 12. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kutokana na wanawake kuwa wengi kuliko wanaume vimada wamekuwa na adabu sana yaani ni wewe tu kumwabia usinipigie simu nikikuitaji nitakupigia mimi,
  Tukikutana popote nikiwa na watu tujifanye hatujuani kabisa.
  Na ikiwa ni siku ya faragha masaa 2 unafanya nini huko ndani?
  Lisaa limoja tosha ujuzi naenda uonyesha nyumbani.
  Sasa we mama utashtuka vip?
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Bondpost unazumngumziaje hizo nyingine apart from kuchelewa?? Mi naona amejitahidi. Kwa kweli cheater utamjua kwa tabia yake ya wasiwasi hasa kuhusu simu na sms zinazoingia mkewe akiwa around. Kuna jamaa (mme wa rafiki yangu) yeye simu zake akiwa na mkewe outing anaziweka mezani zikiwa zimetazama chini zote na bado zina password. Ila ashukuru Mungu amepata mke mstaharabu; mi kwangu hakuna cha password wala simu kutazama chini na ni haki yangu kujua aliyekupigia simu Or else inabidi uchague simu (privacy) au mimi.


   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kama unampa wakati mgumu hivyo huyo the other woman; sidhani kama mkeo ana haja hata ya kuwa na mashaka na wewe. Tunachogombania ni kuibiwa penzi letu kama ni mihemko tu mtajiju na vimada wenu!


   
 15. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hao vimada wanakuwa wastaarabu mnapoanza, ukimkolea au akigundua unataka kumwacha hakuna ustaarabu tena................ hadi wife atatumiwa sms kuelezea uhusiano wenu.
   
 16. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  uzi wako unaonesha kuwa uliloliandika linakuhusu na unataka kumaliza hasira zako humu kwa aanachokufanyia mwenza wako... na wanawake walio na wanaume wengine je?? hizi mada za gender issue mi huwa sionagi kama siko general kwakuwa watu wanatofautiana sana..anchofanya mumeo si anachofanya mume wa mwenzio na mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mwingine bila ya sababu, wanawake mnatakiwa mtafute chanzo cha tatizo na kulitatua na si kuwakandia wanaume ndo maana hao wanawake wengine wanatumia udhaifu wenu kuwachukulia wanaume zenu.
   
 17. data

  data JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,790
  Likes Received: 6,565
  Trophy Points: 280
  rekebisha basi mkuu.......
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  wanaume hawana formula hata kidogo. mf. kuna mwanaume 1 yeye anadai anampenda sana mkewe ila ajab ana kimada pemben. mke humwamini 100%. m-mme kampa condition kimada usipige mpk nikupigie km shda ni ya muhmu sana azima hela ntarudisha. meeting yao hufanyika mme akiwa safari tu. asiposafiri hakuna kuonana.kutokana na nature ya kaz za m-mme inamlazimu kusafiri mara 2 kwa mwez,hapo ndipo hukutana na kimada. marufuku kutumiana sms! kwa style hyo unadhan mke wa jamaa atamkamata lin mumewe akicheat? mpo hapo?
   
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Na huyo umkamate wa nini. Shida wanazopeana na huyo kimada zinawatosha.


   
 20. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kuwa kimada nayo inahitaji uvumilivu.cm mpaka akupigie khaaa!ukimmiss??wa kwangu analaza cm yake kabatini.vp naibiwa nn??
   
Loading...