Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 182
1.Kuchoka katika ndoa – Kabla ya kuoa au kuolewa kila mtu alikuwa na shauku ya kufurahia ndoa.lakini baada ya muda mfupi wanandoa wamechokana na ndoa imekosa ladha.Wakati mwingine mwnandoa mmoja anamchoka mwenzi wake.Kama ungepewa nafasi ya kuamua kwaupya huenda usingekubali kuolewa na mwanaume huyo au kuoa mwanamke huyo. Mpendwa msomaji kama unajisikia kuchoka ndoa hiyoni dalili ya kuwepo kwa mapepo ya mahaba tafuta msaada wa huduma ya kufunguliwa
2. Kufanya tendo la ndoa au mapenzi kwenye ndoto na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu.
3. Kuchukia kuoa au kuolewa (unajuta kama usingeolewa au usingeoa)
4. Kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati wa kuoa au kuolewa. Kuolewa au kuoa mtu asiye sahihi.
5. Kuachwa na mume au mke.Kila mwanamume akikuoa baada ya muda mfupi anakuacha.Ujue unamapepo mahaba yanayofukuza wanaume katika maisha yako.Unakuta mwanamke mzuri amesoma na ana (uwezo) kazinzuri lakini anaachwa na wanaume au anatelekezwa na wachumba hapo unahitaji huduma ya fufunguliwa.
6. Kuchukia mahusiano ya kindoa na mumeo au mkeo.Wakati usiku unatembelewa na mapepomahaba.
7. Kunyonyesha watoto kwenye ndoto wakati huna mume wala mchumba /au umeolewa na huna mtoto kabisa! Ni dalili ya kifungo cha pepo mahaba.
8. Kuogesha watoto kwenye ndoto wakati hujaolewa ni dalili mapepo mahaba.
9. Kuota una familia kwenye ndoto wakati hujaolewa / au kuoa na wala huna mchumba.
10. Kuota unafanya shopping na mwanaume au mwanamke wakati hunahata mchumba.