Dalili za mapepo mahaba-part 1

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
1.Kuchoka katika ndoa – Kabla ya kuoa au kuolewa kila mtu alikuwa na shauku ya kufurahia ndoa.lakini baada ya muda mfupi wanandoa wamechokana na ndoa imekosa ladha.Wakati mwingine mwnandoa mmoja anamchoka mwenzi wake.Kama ungepewa nafasi ya kuamua kwaupya huenda usingekubali kuolewa na mwanaume huyo au kuoa mwanamke huyo. Mpendwa msomaji kama unajisikia kuchoka ndoa hiyoni dalili ya kuwepo kwa mapepo ya mahaba tafuta msaada wa huduma ya kufunguliwa
2. Kufanya tendo la ndoa au mapenzi kwenye ndoto na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu.
3. Kuchukia kuoa au kuolewa (unajuta kama usingeolewa au usingeoa)
4. Kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati wa kuoa au kuolewa. Kuolewa au kuoa mtu asiye sahihi.
5. Kuachwa na mume au mke.Kila mwanamume akikuoa baada ya muda mfupi anakuacha.Ujue unamapepo mahaba yanayofukuza wanaume katika maisha yako.Unakuta mwanamke mzuri amesoma na ana (uwezo) kazinzuri lakini anaachwa na wanaume au anatelekezwa na wachumba hapo unahitaji huduma ya fufunguliwa.
6. Kuchukia mahusiano ya kindoa na mumeo au mkeo.Wakati usiku unatembelewa na mapepomahaba.
7. Kunyonyesha watoto kwenye ndoto wakati huna mume wala mchumba /au umeolewa na huna mtoto kabisa! Ni dalili ya kifungo cha pepo mahaba.
8. Kuogesha watoto kwenye ndoto wakati hujaolewa ni dalili mapepo mahaba.
9. Kuota una familia kwenye ndoto wakati hujaolewa / au kuoa na wala huna mchumba.

10. Kuota unafanya shopping na mwanaume au mwanamke wakati hunahata mchumba.
 

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
21. Kukosa utoshelevu w moyo kat ika ndoa uliyonayo.
22. Kama ni msichana huoni kijana yeyote aliye wahi kukusemesha kwamba atakuoa ujue maranyingine hata wachawi wanaweza wakawa wamekufunga.
24. Kupewa ahadi za kuolewa bila kutimiwza / kama hakuna anayemaanisha unahitaji huduma ya kufunguliwa.
25. Kuachwa baada ya wanaume kuujua mwili wako au kuchukiwa baada ya mwanaume kulala na wewe.
26. Kucheza na nyoka ndotoni wala hung’ati hili sijambojema ni hatari.
27. Kubakwa mara kwa mara katika halihalisi.
28. Kumpamimba msichana mwingine halafu unaoa mwanamke mwingine.
29. Mchumba kufariki kabla ya ndoa (kufaghafla mipango ya harusi imeandaliwa)
30. Kuachiswa kazi au biashara kufa mara baada ya kuoa au kuolewa.
 

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
180
31. Kupata ajalimba ya baada tu ya kuoa au kuolewa.
32.Mwenzi wako hakubaliani nawewe katika jambololote mnalopanga (anakuwa mpinzani tu!)
33. Kila mwenzi anaye kuoa au unaye muoa anakufa
34. Kuwa na uamuzi wa kutoolewa au kuoa kwa kuogopa matatizo ya ndoa (hofu ya ndoa).
35. Mwenzi kutokukujali wakatiunaumwa unajihudumia mwenyewe hadi unapona nayeye yupo hata ulalamike maumivu anaendelea na shughulizake bila kujali.
36. Kupigwa mara kwa mara bila huruma na mume wako.
37. Kutishiwa kufukuzwa mara kwa mara na mumewako.
38. Kupotelewa na pete ya ndoa au cheti cha ndoa ktk mazingira ya kutatanisha.
39. Kupewa pete za mapenzi na waganga wa kienyeji au wanajimu.Vua hiyo pete katika jina la yesu ni antena / agano la kuvutia mapepo katika maisha yako.
40. Kujuta kuolewa au kuoa mwenzi huyo.
 

MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
274
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...shetani si lolote maana twajua hata kufikiri kwake..
 

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
385
130
duh! nilishazoea kusoma habari hizi kwenye magazeti hasa ya udaku naona mmeamua kujitangaza zaidi, karibuni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom