Pole Mkuu, But Naona Una Bahati Kubwa Kusomea Kilimo, Kuna Fursa Nyingi Sana... Jiajiri Ndugu Na Ukifanya Vizuri Ajira Zitakutafuta Tu. Kitabu Chako Unataka Kihusiane Na Issue Gani?
Vikwazo na propaganda wakati wa kutafuta ajira
Pole sana mkubwa,
Kwa hatua uliyonayo sasa hivi ukiandika hichokitabu hakitakua na mchango wa maana sana kwa sababu kitaelezea kwa ufasaha na ufanisi sana upande wa vikwazo na matatizo ya kutafuta kazi lakini kwa bahati mbaya hakitakua na maelezo ya nini kifanyike au utatuzi wa hilo tatizo kwa sababu huo uzoefu hauna bado.
Kama umesomea kilimo, mbona una bahati mkuu, jaribu kuona kwamba una fursa na badili unavyowaza kuhusu namna ya kujikwamua kimaisha. Unajua sio kila mtu lazima afanye kazi ofisini, wengine wapo huko lakini wanatamani wafanye kilimo au biashara.
Wana jf na andika uzi huu
nikiwa namachungu na wizara ya ajira tanzania maana nimezunguka sana na
utafutaji wa ajira mpaka kila kona wanapotolea kopy za vyeti
washanikalili niki ingia hata kununua kitu utasikia unatoa na copy au
unataka copy za vyeti nimechoka na nina juta kusoma kilimo na sasa
najipanga kutunga kitabu baada ya purukushani nilizo kutana nazo kutoka
kwa waajiri wa nchi hii.
kama kuna aliyeguswa na maandalizi ya kitabu hiki ajaribu kunitupia
maoni nianze kitabu hiki.
Ukitaka kuandika kitabu Nitafute, nitakusaidia kwa kila hatua kuanzia kuunda wazo(Idea), kuandika, kudesign kitabu na kuchapisha.
Kweli Kabisa, Nashauri Uandike Kitabu Cha Kilimo Na Ikiwezekana Anzisha Bustani Na Uifanye Shamba Darasa, Then Wape Elimu Wakulima Juu Ya Kilimo Bora. Utatoka.
Ajira Ni Neno Mbadala Wa Utumwa!
Kwa ushauri wa jinsi ya kuandika kitabu na mambo yahusuyo vitabu nitafute.
nina copy 400 za vitabu nataka kuuza jumla. unafanyaga hizi dili?Ukitaka kuandika kitabu Nitafute, nitakusaidia kwa kila hatua kuanzia kuunda wazo(Idea), kuandika, kudesign kitabu na kuchapisha.
nina copy 400 za vitabu nataka kuuza jumla. unafanyaga hizi dili?
Tunatoa Kozi Hii Ya Ujasiriamali Wa Kazi Ya Mikono Na Ubunifu. Kaka Karibu Pia Tuwasiliane.