Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

ulijuaje kuwa mimi ni mfugaji? kweli ww una machale kweli kweli, baba mkwe kwa heshima na taa lisilozimika njoo huku utoe idadi ya ng'ombe mimi nijitwalie mpenzi wa moyo maana yeye kashakubali umebaki ww tu kutoa Baraka zako.


Ngoja mzaa chema aje afunguke idadi #wamasai oyeee
 
Ngoja mzaa chema aje afunguke idadi #wamasai oyeee
ha ha ha ha ha............oyeeeeeee.......kuja huku lavutani, kama utataka ng'ombe wa kwato ama tunaconvert into Tsh ni wewe tu
 
Mimi niliona dalili kama hizo na mimi nikarudishia hivyo. Yaani nikaacha kumpigia, kutuma sms akinipigia niko busy naona amerudi kwa spidi.
Kwahiyo ukiona dalili hizo endelea na shughuli zingine achana nae. Utashangaa anarudi.

We jaribu uone!!
 
Haya mahusiano ukijifanya unayajua sana ndo hivyo unabaki kulia lia na mtu ambae unajua kabisa wewe sio mtu wake wa kwanza au yeye si mtu wako wa kwanza
Namshangaa mtu anaesoma alama za nyakati lakini yupo yupo tu anajifariji ipo siku atabadilika

Mimi nina mtu huyo simpigii na wala simuulizi kuwa kwa nini hajanitafuta
Lakini utashangaa ananiandikia text afu anajijibu Mwenyewe duh
Atalaumu wee na kesho atarudia tena yale ya Jana
Duh wakati mwingine mtu anajifanya kipofu kuwa haoni kuwa hapendeki lol
 
Hatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewi
happo umeongea point maminto kuna watu hua wanajidai wana bad mood za kuropoka ovyo hua nawakimbia wadada wa aina hio faster. Ivi mtu unashindwaje kujicontrol? ukigombana kazin ndo uhamishie kwa mwingine? kwenye psychology tunaiita defensive mechanism ni udhaifu wa kijinga kwel kwel
 
Mimi niliona dalili kama hizo na mimi nikarudishia hivyo. Yaani nikaacha kumpigia, kutuma sms akinipigia niko busy naona amerudi kwa spidi.
Kwahiyo ukiona dalili hizo endelea na shughuli zingine achana nae. Utashangaa anarudi.

We jaribu uone!!

Aha ha haaaa .Dawa ya moto ni moto
 
MwenyeKitu mood yangu huvurugika akaunti ikiwa haisomi. ..nakuwa sipendi kelele
 
Mapenzi ya kila sekunde message tu mambo ya msingi hayaendi siwezi kwakweli maana ata nikijaribu kuigiza najua ipo siku nitarudi kwenye mfumo wangu wa kawaida ukishaniletea maigizo ya kila dakika text tu hapo sina kingine zaidi ya kukupuuza
Hapo kwa kiasi fulan upo sahh,Asili haina Dawa.
 
Mimi naukubali sana usemi huu "Let love finds you......"
Huwa sihangaiki kabisa,mtu akiniletea pigo hizo nami nakausha tu.
Asante kwa maneno yako ya faraja & hamasa anyway....
Hapo kidogo,umeegemea upande mmoja,inamaana wewe ni wa kupendwa tu,!!Mapenzi yanatakiwa yawe both sides,sa wewe unasubir mapenz yakutafute,vp yakikutafuta usipopapenda?
 
Ushauri wangu hapo kwa rubii ni kwamba mtu ajifanya kichaa we unajifanya Mwehu!!!mtu akijitia upofu wewe unakua kiziwi!!!Mapenzi yapo tu.
 
inategemea mbona mm huwa cmpigii cm mara kwa mara na yaani hivyo vyote ulivyo orodhesha hapo juu kasoro no 5 tuu hainihusu...lakin nampenda sana mpenz wangu but huwa inatokeaga sina mood ya kupiga simu wala kuchat yaan najikuta tuu sitaki usumbufu wa calls or txt...mwanzoni alilalamika sana but kwa sasa kashanizoea anaweza kutuma txt inategemea naweza nikamjibu mda huo huo au sometime akajibiwa baada ya masaa matatu au nisimjibu kabisa...sana sana nitakuja ku mcall badae nikiwa katika mood nzuri. huwa inanitokea hivo I don't knw why...!
 
Tatizo wengi wanaamini kupigiwa simu au kutext kila baada ya dakika tano ndio kupendwa kumbe kupendana ni zaidi ya hizo text za kupretend...nilishawahi kutumiwa text eti Lazy people are always busy..nikatafakar kwa kina kilichofata yeye mwenyewe ndio anajua
 
Back
Top Bottom