Ushauri wangu hapo kwa rubii ni kwamba mtu ajifanya kichaa we unajifanya Mwehu!!!mtu akijitia upofu wewe unakua kiziwi!!!Mapenzi yapo tu.
inategemea mbona mm huwa cmpigii cm mara kwa mara na yaani hivyo vyote ulivyo orodhesha hapo juu kasoro no 5 tuu hainihusu...lakin nampenda sana mpenz wangu but huwa inatokeaga sina mood ya kupiga simu wala kuchat yaan najikuta tuu sitaki usumbufu wa calls or txt...mwanzoni alilalamika sana but kwa sasa kashanizoea anaweza kutuma txt inategemea naweza nikamjibu mda huo huo au sometime akajibiwa baada ya masaa matatu au nisimjibu kabisa...sana sana nitakuja ku mcall badae nikiwa katika mood nzuri. huwa inanitokea hivo I don't knw why...!
Mbona rahisi sana?Hapo kidogo,umeegemea upande mmoja,inamaana wewe ni wa kupendwa tu,!!Mapenzi yanatakiwa yawe both sides,sa wewe unasubir mapenz yakutafute,vp yakikutafuta usipopapenda?
I knw her...sio kweli!Mwanzoni alikua analalamika sababu hakua na wakumpunguzia machungu now kampata yuko mguu mmoja ndani mwingine nje
Kula tano mkuu...umeongea point ya maana sanamada ni nzuri lakin kuna dosar naiona. kuanzia namba 1-5 naona neno simu tu. hiv kipimo cha mapenzi kipo kwenye cm tu? vp kama tunaish pamoja ndan? simu haina nafas sana mana muda mwingi nipo nae ndan. nitamtafuta pale inapobid. kingine ningependa kujua hizo dalil umezizungumzia kwa ujumla au ume specify na mapenz ya digital tu. vp 20 years ago kipimo cha mapenzi ni nin? na je wale wapenz wapo eneo ambalo matumiz ya cm hayaruhusiwi(boarding) umewafikiria? nihitimishe kwamba kupigiwa cm mara kwa mara sio dalil ya kupendwa au kuthaminiwa! kuna watu ni mapretender kuliko unavyodhan. unaweza pigiwa cm mchana uck kumbe watu wanataka poch au mtu anawinda papuch. ukiishiwa hayupo.
mm naamina kipimo cha mapenzi ya dhati kwa mahabuba wako sio kwenye kuwasiliana mara kwa mara kuonyesha kuwa unapendwa unaweza ukapigiwa simu sana, txt kila sekunde kubembelezwa kama kama mtoto mchanga then ukaja pigwa chini ukashindwa hata kushangaa....mapenzi ni mapana sana asee embu rudi kafanye utafiti wako upya urudi na maelezo yanayojitosheleza hapo bado hujani convince...Mpaka akufanyie sapraizii ndo utamfahamu!
mm naamina kipimo cha mapenzi ya dhati kwa mahabuba wako sio kwenye kuwasiliana mara kwa mara kuonyesha kuwa unapendwa unaweza ukapigiwa simu sana, txt kila sekunde kubembelezwa kama mtoto mchanga then ukaja pigwa chini ukashindwa hata kushangaa....mapenzi ni mapana sana yanahitaji uwe mbunifu sio kuwindana kama paka na panya.. asee embu rudi kafanye utafiti wako upya urudi na maelezo yanayojitosheleza hapo bado hujani convince...
mm naamina kipimo cha mapenzi ya dhati kwa mahabuba wako sio kwenye kuwasiliana mara kwa mara kuonyesha kuwa unapendwa unaweza ukapigiwa simu sana, txt kila sekunde kubembelezwa kama kama mtoto mchanga then ukaja pigwa chini ukashindwa hata kushangaa....mapenzi ni mapana sana asee embu rudi kafanye utafiti wako upya urudi na maelezo yanayojitosheleza hapo bado hujani convince...
Ugumu upi muheshimiwa?Kichwa chako kigumu
sawa mkuu it seems hujakubaliana na hoja yangu, sio kesi simamia unachoamini...asanteSijaweka hapo kukushawishi wewe, lisemwalo lipo kama halipo linakuja endelea na yako tu kila mtu anamacho yake yakuona mambo