Teh teh No CommentWakati si wengine yanatuheshimu
Yaani huruma, baada ya hizo dalili niliendelea kutafutaNawaonea huruma mnaotàfuta .
Takwimu yako ya chini ya kitovuu Mkuu,..kila mtu na wake babu wee unataka tuu tujione wanawake wanyonge kwenu ili mtuendeshe puta....waaapiii,.equal equal tuu[emoji12] afu ww ndo unasababisha wenzio mtaani wakose Hata wakuwapa hi' wanawake sita wote wann!???....uzinzi tuuu[emoji35]N
Tatizo wanawake mmekuwa wengi sana sasa mim nina mademu sita na wote nataka kuongea nao usiku lazima nikuambie nataka kulala kumbe naanza kuongea na rebeka nikimaliza rebeka naye namdanganya nataka kulala kumbe naanza kuongea na ashura hivyo hivyo ndiyo maisha yanaenda
Pia hapo umedanganya kuwa wanaume ni wengi sana na wanawake ni wengi sana ni uongo ukweli ni kwamba wanaume tuko wachache wakati wanawake mko wengi sana na ili muwe na furaha lazima mwanaume mmoja amiliki wanawake watatu au wawili kutegemea na kipato chake
HahahaYawezekana lakini january mpaka december unabadmood wewe tu huna likizo ndugu?
Hahaa mkuu wewe hupendi kuweka uwekezaji mkubwa!namshukuru mungu hayo hayanikutagi kwa sababu siwekagi kambi kikubwa nipate kilicho nipeleka walau hata mara moja
Unajitia uchizi kujifanya uelewi hizo signalTeh teh...Sasa we kila siku unajibiwa mkatomkato unaendelea na mahusiano na huyo mtu ili iweje?..Kuja kujaza server za jf ama?
hawa viumbe hatari sana kama ukiwekeza kwa mda mrefuHahaa mkuu wewe hupendi kuweka uwekezaji mkubwa!
Teheeheeee...... Na ulivyowahi kujibu, umejuaje??Unifuate kivipi?
Kama ni kimapenzi nimeshawahiwa,asante.