Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

Mimi naukubali sana usemi huu "Let love finds you......"
Huwa sihangaiki kabisa,mtu akiniletea pigo hizo nami nakausha tu.
Asante kwa maneno yako ya faraja & hamasa anyway....

Aisee vipi hakuna sherehe za kukukabidhi zawadi yako ya Huawei Ascend Mate 7?

Fanya hata kasherehe kadogo tu, MC atakuwa Evelyn Salt
 
Achana nae Usijisumbue kwa Demu ILA jisumbue kutafta Peeeesah
 
Ukiona unazinguliwa huko njoo kwenye mikono salama upate pumziko, nitakua nakupigia mara tatu kwa siku kama dozi ya vidongo vya pain killer.
 
"rubii, post: 15158967, member: 275369"]DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.[/QUOTE]
Nikweli. I la inaonyesha kama umejeruhiwa moyoni. Pole sana.
 
Ukiona unazinguliwa huko njoo kwenye mikono salama upate pumziko, nitakua nakupigia mara tatu kwa siku kama dozi ya vidongo vya pain killer.


Wapo wanaohitaji na wanasoma watakupitia chumba cha ndani uwapokee
 
[/QUOTE]
Nikweli. I la inaonyesha kama umejeruhiwa moyoni. Pole sana.[/QUOTE]


ha ha haaaa...We bwana Pepsi kahuruku vipiiii Ulivyoshupalia kujeruhiwa na pole zisizokwisha kama daktari wa menoo....Umequote post nzima kuwapa tabu watumia vitochi tu humu
Nawewe fanya #COPYPASTE ukashirikiane na nduguzo uwapendao
 
E="rubii, post: 15159793, member: 275369"]Pole sana ndugu!! Yawezekana bado hujachelewa jaribu au huwezi kuishi bila yeye?
Asante...kwa saiv ntajitesa tu mimba c unajua huwa zinasumbua acpo nitafuta mi ntamtafuta ila nakaribia kushusha matatizo ya[/QUOTE]


Mungu akutangulie ujifungue salama dear
 
Daddy umemsikia huyu? Freeland Ongea nae sijuwi ana ng'ombe ngapi
ulijuaje kuwa mimi ni mfugaji? kweli ww una machale kweli kweli, baba mkwe kwa heshima na taa lisilozimika njoo huku utoe idadi ya ng'ombe mimi nijitwalie mpenzi wa moyo maana yeye kashakubali umebaki ww tu kutoa Baraka zako.
 
Back
Top Bottom