Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Duuh..Hilo tatizo aisee..Mi naongelea siku kadhaaYawezekana lakini january mpaka december unabadmood wewe tu huna likizo ndugu?
Duuh..Hilo tatizo aisee..Mi naongelea siku kadhaaYawezekana lakini january mpaka december unabadmood wewe tu huna likizo ndugu?
Aaah hapo sawa, na ni rahisi mtu kuhisi kuwa huyu leo labda yupo off mood. Sio wale kila siku unanijibu short, weeeeSikuignore totally Douta..Nikiwa off mood nakuwa mzito kuinitiate maongezi..Ukinitumia msg au kupiga simu ntakujibu ila ntatafuta njia ya kufupisha maongezi ambayo haitakufanya ujisikie vibaya
Hahaha yani mtu akikuchoka bana, visababu visivyo na kichwa wala miguu. Ni kujiongeza tu kwa kweli
Duuh..Hilo tatizo aisee..Mi naongelea siku kadhaa
Aah bana Penda unapopendwa, mambo ya kulazimisha kupendwa Aah hapanaNi heri nusu shari kuliko shari kamili, unampotezea tu kuepuka kuwa muuguzi wa moyo
Ukiona dalili hizo unajikataa kimya kimya
ukiona dalili kama hizo haitakiwu kuuliza maana utachelewa kufanya yako ww cha mcng n kuangalia wap inatakiwa ukaangukie na co kujidai ww unajua sana kupenda kulko hata ujpendavyo
Inategemea mpendwa..Sio kila mara ukiwa kwenye mood mbaya mpnz wako ndo anaweza kukurudisha kwenye hali ya kawaida..Sometimes mtu unaamua kufanya vile vitu unavyovipenda ili kujiweka sawa...Mf mwingine akiwa hayuko poa anapendelea kusikiliza muziki au kucheki movies..Sasa muda huo unacheki movie mpnz nae ndo anataka mpige story..Yani dizaini kama ndo anakuongezea mboreko tuOooh! kwa siku 2 tatu sawa lakini kwanini usiongee na mama watoto akakusaidia kukurudisha kwa hali ya kawaida jamani
Teh teh...Sasa we kila siku unajibiwa mkatomkato unaendelea na mahusiano na huyo mtu ili iweje?..Kuja kujaza server za jf ama?Aaah hapo sawa, na ni rahisi mtu kuhisi kuwa huyu leo labda yupo off mood. Sio wale kila siku unanijibu short, weeee
sometimes nafanya vyote hivyo nikiwa kwenye bad mood..Haimaanishi kuwa simpendi mama watt
Yeah nilikua nazaa pacha tatu
Hahaha daddy kuna muda tunajikutaga hatutaki kusoma alama za nyakati wala majira ya nuktaTeh teh...Sasa we kila siku unajibiwa mkatomkato unaendelea na mahusiano na huyo mtu ili iweje?..Kuja kujaza server za jf ama?
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:
point taken thanks ILA JE KAMA UKITAKA UACHE KIIVO UTAACHA WANGAPI vipi kuhusu kuvumiliana
Teh teh..Hilo ndo tatizo aisee..Ndo mana watu wanalilia deile hapa..Mpaka wanafanya mapenzi yaonekane mabaya..Wakati si wengine yanatuheshimuHahaha daddy kuna muda tunajikutaga hatutaki kusoma alama za nyakati wala majira ya nukta