Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.

Ujumbe mzuri wa kuelimisha ,
mwenye masikio amesikia ,ingawaje waswahili husema ng'ombe lazimishwe kunywa maji.
 
Pole Zimekutokea Hizo Tu.
You Are Smart, You Are Royal You Are Intelligent You Are Clever You Have Noticed Very Early I Appreciate That.
 
mm naamina kipimo cha mapenzi ya dhati kwa mahabuba wako sio kwenye kuwasiliana mara kwa mara kuonyesha kuwa unapendwa unaweza ukapigiwa simu sana, txt kila sekunde kubembelezwa kama kama mtoto mchanga then ukaja pigwa chini ukashindwa hata kushangaa....mapenzi ni mapana sana asee embu rudi kafanye utafiti wako upya urudi na maelezo yanayojitosheleza hapo bado hujani convince...

Mimi kwanza maswali kupigiwa siku kila muda halafu unaulizwa beib unafanya nini wakati unajua nawajibika na kazi....kuni siku mambo yamebana mtu tumetoka kuongea kama nusu saa nyuma ananiuliza unafanya nini beib nikamjibu nipo chooni nashusha gogo hakakata mwenyewe yani watu wanapenda maigizo kinoma
 
happo umeongea point maminto kuna watu hua wanajidai wana bad mood za kuropoka ovyo hua nawakimbia wadada wa aina hio faster. Ivi mtu unashindwaje kujicontrol? ukigombana kazin ndo uhamishie kwa mwingine? kwenye psychology tunaiita defensive mechanism ni udhaifu wa kijinga kwel kwel
Yani stress zinahamishiwa kwako, utajuta teh
 
kupenda au kupendwa hujalazimishwa
take care cos east,west home is best
 
Yalishawahi kunikuta, ila nashukuru moyo wangu wa ujasiri hayakudumu sn. Nikaishia penye upendo wa ukwel
 
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
Dyuu
 
Asante...
 
Ahaaaaa nikiona hizo dalili hata siangaiki na kudelete tho najua kuna watakao kudounlod siku ukipiga simu nakuuloiza jitambulishe kwanza
 
Ha ha haaa! Atahoji inamaana bebi namba yangu huna?
 
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
vyote hivo watu wanaweza kukaza lakini sio kuzikazia nyege ndio inayowafanya watu waangaikie mgegedo kama isingikuwa hivyo mbona wengi wangesubiri for the right person bhn
 
Ukifikiria kujenga familia, hutamuacha umpendae kwa sababu ya kutokukutafuta, kuna wakati hayuko sawa ndio maana yuko kimy
 
Back
Top Bottom