Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
huo mchana tafuta shimha kichupa kimoja mkuu... wiki tu utaleta mrejesho jukwaaniSili mchana siku hizi kukwepa maneno ya Mbona umenenepa sana..Kila ninaekutana nae hakuna kipya zaidi ya hilo swali
ni kweli madhara ya unene ni mabay kuzidi yanavyoonekana katika mwili nilichokigundua sikuamini kabisa kwa kuwa kunawakati mishipa inajaa lea za mafuta na kufanya damu isiende vizuri matokeo yake effected organ na brain hakuna mawasiliano sawasawa hili nililiona wakati nafundishwa mazoezi kuna mazoezi rahisi nilikuwa nashindwa kufanya kwa ajili ya owoga.Issue ni kujizuia usirudi..kujisahau kupo sana
Sasa spinderella, unawezaje kujizia kuweka bia baridiii kwa juu kwa mfano!!,,,hata moja?
Hapo sasa, kwani hata hizo protein nyama, samaki, mayai ni vitu expensive kwetu ndio maana tunafakamia carbohydrates ili tujaze matumbo siku ziende.Value?
Kabisa, mara magoti, viuno, pressure, kisukari yaani ni shidaWengine wakinenepa wanaanza kuumwa!
Inawezekana namba 3 imekuhusu 100%Namba 1 na 5 siyo za lazima kutokea. Ila kuna namba zinanihusu hapo ila nishaanza mpango mkakati wa 2019 kudhibiti hili tatizo hasa namba nne kutoka kwa majirani
Aah kumbe Valur... ndio inaandikwa hivyo si ndio? Hiyo ni spirit ina calories kidogo ukilinganisha na bia. Wines zina calories nyingi sana haswa zile sweet bora dryNamaanisha value kinywaji hakifai...au wines kama Altar
Sasa hivyo ndo balaaa... Nilikuwa nakula na kuku wa kuchomaa...
We ni mtu wa pili sasa unasisitiza hili siyo kila linalomtokea wewe limtokeee na mwingine. Mi nimesema hali hiyo hutokea pindi nilapo miharage hasa ile ya nazi aisee...ila nikila vyakula vingine inakuwa kawaida tu kwa afyaInawezekana namba 3 imekuhusu 100%
NdioBy Sweet unamaanisha red wine?