Dalili kuu ya mwanaume shoga!

Mkuu unaposema wanaume wanaingiliwa kinyume na maumbile ni kama sikusomi hivi, sijawahi kuona mwanaume anaeingiliwa kikawaida ili hao wanaoingiliwa kinyume na maumbile wawe shoga. Mwanaoume haingiliwi bali anaingilia so jipange brother na pia huo utafiti wako hauna mashiko kitaalam.
 


Hueleweki bana, kajipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…