abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,170
Kuita Jambo la mwenzio Ni dhahiri umeshindwa kujua na kung'amua Nini kilicho ongelewa na kuunga dot kwa mambo kaadhaa wa kadhaa yaliopita.Ujinga mtupu
Nyiny Ni watu ambao hamuamini mambo ya kiimani ilijificha Zaid huku siku zikikupata unawh katika tambiko za familia za kwenu.
Na siku zote nikufunze usiite Jambo la mwenzio Ni ujinga au upumbavu mana Kama Ni ujinga ungeweka lako ambalo si ujinga Wala upumbavu.nyiny Ni watu ambao akili zenu ziko matakoni hamuwez kufikiri mpka kidole kipite ndio unajua kumbe na hili Ni Jambo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]