Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Oct 22, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Kuna baadhi ya wanaume huziona dalili za mwanamke kumtaka kimapenzi kwa namna ambayo siyo kabisa. Na ndio maana mara nyingi mwanamke anapomchangamkia mwanaume na kuwa naye karibu kimazungumzo katika hali ya kawaida, lakini mwenzake akaona kuwa hiyo ni dalili ya kupendwa na mwanamke huyo.

  Na hiyo huwapa wakati mgumu sana pale wanapogundua kuwa mwanamke husika hakuwa na fikra za kuwa na uhusianao nao kimapenzi kama walivyodhani. Na hapo ndipo fedha na nguvu itatumika ili kuhakikisha anampata mwanamke huyo na wakati mwingine hata vitisho pale njia hizo mbili zinaposhindwa.

  Yaani anaweza kuamini kabisa kuwa mwanamke fulani amempenda kimapenzi, wakati sio kweli. na anapomtongoza mwanamke huyo na kukataliwa, hapo ndipo mbinu chafu zinapoanza kutumika kwa kuwa wanaume hawakubali kushindwa na hasa katika jambo hilo.
  Kwa kawaida wanawake na wanaume, wanayo mikabala tofauti katika kuonesha dalili za kupenda.

  Wakati kwa mwanaume kuchekewa, kuchangamkiwa na na kutaniwa na mwanamke, kuna maana ya mwanamke huyo kumpenda mwanaume husika. Lakini kwa manamke, kufanya chochote kati ya hayo au kufanya yote hakuna maana ya kumpenda mwanaume husika.

  Na hapo ndipo wanawake wanapotakiwa kuwa waangalifu pale wanapofanya masihara na baadhi ya wanaume maana wanaweza kutafsiri vibaya, ule utani na ukaribu wenu kwao.

  Kila mwanamke anayo dalili ya kuonesha kuvutiwa na mwanaume lakini sio dalili za wazi kiasi hicho. Waswahili wanasema, 'ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.' kwa kawaida wanawake huonesha vitendo kuliko maneno....
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Elezea na za kweli basi!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  veeeeeeeeeri truu
   
 4. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aissseeeeeeeeeeeee .......kweli we ni mtambuzi
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umejuaje baba,wanaume wengi hawalijui hilo,na sie wacheshi na watu wa masihara mbona tunakoma,coz mwisho wa siku tunaishia kuporomoshewa matusi na majina yote mabaya,jaman mwenzio ni story wala sina feelings hizo!!!
   
 6. B

  Black African Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtambuzi tuekee hizo dalili za ukweli,tuwatambue maana sometime huwaga hatutaki kuchezewa na wasichana,tunawataka walioserious ili tujipe uhakika si unajua kumwagwa na chini nowmaaa!
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aibu!!!
  hamna lolote hapa kama kweli unamfeel kwanini usinene nae? vitendo plus maneno ndio mambo yanakwenda....
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimeshasema kwa wanawake ni hisia zaidi na vitendo kwa sana................ ngoja waje wenyewe watasema
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...EHHH? ....some people need to grow up!
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi sioni ubaya wa mwanaume kumtongoza mwanamke kwa sababu yoyote ile, shida ni pale wanaume wanapokuwa wabishi kukubali matokeo. Kuna kipindi wanawake wanaweza kukutega ili akuone kama utamtongoza, ukijitusu ndipo anapokupa story zake kuwa mimi nina mume, boyfriend wangu, mchumba n.k Baada ya hapo ndipo sinema inapoanza kwa wanaume lakini hiyo haisaidii! Hivi mwanamke ukimtongoza unakuwa na matumaini ya kuanzisha kipindi kipya cha amani, upendo n.k, hivyo hivyo kuachana na kukubali matokeo kuwe kwa amani, upendo kabisa. Wito kwa wanaume ukijua kutongoza ujue na kukubali matokeo.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yaaani, umeongea yote niliyotaka kusema.
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  oooooh pole sana da Canta....wala usikome kwani kama uchesi na masihara ni hulka yako wala usijibanie bhana,na hilo la kupromoshewa matusi pole sana
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mimi demu akinichekea tu lazima aliwe
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Husninyo, unajua hata mimi nilihisi unanipenda...............LOL
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nakupenda ndio. Sina sababu ya kukuchukia.
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Enzi zile tulisema hakuna kulaza damu! teh teh teh!
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mimi uwa nakuwa mpole najua kubembeleza hata kama yupo mtu uwa anasahaulika kwa muda nikishapata nachoitaji nasepa zangu uzuri wanawake ni wepec wa kusahau.bora anichekee kuliko ale pesa yangu LAZIMA acheuwe for any way hata ikipita miaka i know there is single day il catch her !
   
 18. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  I
  Kutongoza ni kama art......mara nyingi kuna vitu vingi mwanaume anaviangalia (ikiwa ni pamoja na hayo uliyoyataja) na kufanya analysis ya likelihood ya kufanikiwa kabla hajaamua kutupa ndoana yake. Kama ana mashaka anaweza kufanya majaribio kadhaa ili kujiririsha na kiwango cha likelihood alichom rank potential target na kama kimevuka threshold(kila mwanaume ana yake) ndio atarusha ndoano.

  Ni kweli katika huo mchakato zinaweza kutokea false alarms au mwanaume akashindwa kutafsiri baadhi ya signals kutoka kwa mwanamke na hivyo kufanya maamuzi yasiyo sahihi. Lakini kwa sehemu kubwa non verbal language ina sehemu kubwa sana katika mahusiano.....na kuna wakati verbally mtu anasema NO lakini clearly non verbally anasema YES.

  Kumbuka wanawake wengi hawapendi kuonekana wao ndio wame initiate mahusiano, wengine hawapendi kuonekana 'maharage ya mbeya'....so vyote hivi in a way vinamlazimisha mwanaume aoneshe perseverance!
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wewe unawaza kwa kutumia masaburi utasema nini?usiwe unachangia usichokijua.tpuuuu...!!
   
 20. B

  Black African Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masister tusaidieni basi hayo matendo mnayoweza kuyaonesha kwa mwanaume uliyemzimikia ili tufahamu jamani, itaturahisishia kazi.
   
Loading...