Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

Umejuaje mamii, yalishanikuta mara kibao, unatukanwa na baadaye mtu anakununia kana kwamba mlikuwa na makubaliano mtakuwa wapenzi

Umejuaje baba,wanaume wengi hawalijui hilo,na sie wacheshi na watu wa masihara mbona tunakoma,coz mwisho wa siku tunaishia kuporomoshewa matusi na majina yote mabaya,jaman mwenzio ni story wala sina feelings hizo!!!
 
Back
Top Bottom