Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

Dalili hizi za wanawake sio za kweli kabisa

na wakati mwingine anaweza akajifanya hamaanishi halafu anakuwa anakuganda sasa mtu kama huyo atakuwa kundi gani mtambuzi walijua hilo...
 
na wakati mwingine anaweza akajifanya hamaanishi halafu anakuwa anakuganda sasa mtu kama huyo atakuwa kundi gani mtambuzi walijua hilo...

Ha ha ha ha haaaaaaa.................. Huo sasa ni uchokozi, unajua hata mimi nadadavua hapa, lakini hawa viumbe hawataki kusema
 
na wakati mwingine anaweza akajifanya hamaanishi halafu anakuwa anakuganda sasa mtu kama huyo atakuwa kundi gani mtambuzi walijua hilo...
au anazuia wadada wengine wasiwe karibu na wewe!
 
Mtambuzi tuekee hizo dalili za ukweli,tuwatambue maana sometime huwaga hatutaki kuchezewa na wasichana,tunawataka walioserious ili tujipe uhakika si unajua kumwagwa na chini nowmaaa!
Ni vizuri dalili zote zikawekwa wazi ili wanaume tusije kuangukia pua kwa kuvamia dalili zisizo!
 
Wiki ijayo nadadavua dalili za wanawake kuashiria mapenzi..............
Naamini itawasaidia kurahisisha mambo.
 
I
Kutongoza ni kama art......mara nyingi kuna vitu vingi mwanaume anaviangalia (ikiwa ni pamoja na hayo uliyoyataja) na kufanya analysis ya likelihood ya kufanikiwa kabla hajaamua kutupa ndoana yake. Kama ana mashaka anaweza kufanya majaribio kadhaa ili kujiririsha na kiwango cha likelihood alichom rank potential target na kama kimevuka threshold(kila mwanaume ana yake) ndio atarusha ndoano.

Ni kweli katika huo mchakato zinaweza kutokea false alarms au mwanaume akashindwa kutafsiri baadhi ya signals kutoka kwa mwanamke na hivyo kufanya maamuzi yasiyo sahihi. Lakini kwa sehemu kubwa non verbal language ina sehemu kubwa sana katika mahusiano.....na kuna wakati verbally mtu anasema NO lakini clearly non verbally anasema YES.

Kumbuka wanawake wengi hawapendi kuonekana wao ndio wame initiate mahusiano, wengine hawapendi kuonekana 'maharage ya mbeya'....so vyote hivi in a way vinamlazimisha mwanaume aoneshe perseverance!

hapo ndipo mnapokosea... mnapotia dhana zenu na kujihakikishia mnachodhani ndicho
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hapo ndipo mnapokosea... mnapotia dhana zenu na kujihakikishia mnachodhani ndicho
Ni kutokana na uzoefu tu. Unakuta demu mwanzo anasema hataki kabisa tena pengine unaweza ambulia matusi, lakini intuitively unajua ni suala la muda (na pengine bei) tu....na kweli ukikaza kamba kidogo "anaachia"! Hata hivyo nakubaliana na wewe sio mara zote inakuwa hivyo (ila naweza kusema kwa uhakika, ni mara nyingi 'we' tend to get the right message).
 
Hebu toa takwimu inayorepresent uzoefu wako; au kwa lugha nyingine naweza kukuuliza umeshawahi kutongoza wanawake wangapi hadi kufikia hiyo conclusion?

Kuna vitu huwezi kurule kwa uzoefu bali fact.
 
Hebu toa takwimu inayorepresent uzoefu wako; au kwa lugha nyingine naweza kukuuliza umeshawahi kutongoza wanawake wangapi hadi kufikia hiyo conclusion?

Kuna vitu huwezi kurule kwa uzoefu bali fact.
Takwimu za kivipi unataka?....ila ukweli ni kuwa sijawahi kuamua kumtongoza mwanamke halafu nikashindwa, hata pale ambao ingeweza kuonekana ni next to impossible? Are you a "she", nifanye trial?:bounce: [jus kiddin!!nilistaafu baada ya kuamua kuoa:A S 39:]
 
Takwimu za kivipi unataka?....ila ukweli ni kuwa sijawahi kuamua kumtongoza mwanamke halafu nikashindwa? Are you a "she", nifanye trial?:bounce: [jus kiddin!!]

you better be kidding
 
  • Thanks
Reactions: SMU
me nimepemda hii mt5ambuzi ila hizo matendo ndo zipi haswa sababu siku hizi mambo ni magumu kweli yani
 
Daah yani hapa nipo taabuni mbaya manzi namkubali kinoma ishara zilikua poa mwanzon lkn ss hv cjui inakaaje kumwambia nataka at the sem tym kumpteza cpend nikutana nae stori znanoga nahic kama nipo amsterdam vile sema daaah ndo hvyo amenichanganyia vyote vilivyooelezwa hapo
 
Mimi uwa nakuwa mpole najua kubembeleza hata kama yupo mtu uwa anasahaulika kwa muda nikishapata nachoitaji nasepa zangu uzuri wanawake ni wepec wa kusahau.bora anichekee kuliko ale pesa yangu LAZIMA acheuwe for any way hata ikipita miaka i know there is single day il catch her !
Kwasababu wana kera mno banaaa. Unakuta mtu anajijua kabisa hana mpango na wewe bado anaku pruni weeee halafu anasepa zake.
 
Back
Top Bottom