Daladala

Duuu...
We ulitaka uombwe? Utaombwa vingap sasa, anaeombwa kila kitu ni mungu tuu binaadam baadhi ya mambo we fanya bila ya kuombwa....jifunze kutoa bila ya maombi kama ikibidi..
 
huwa najiuliza ndo mfano kampakata alafu bahati mbaya wakati anambeba mkamgongesha kwenye siti
 
yote kwa yote mwenye mtoto alikosea na mtoa mada alikosea kwa tamaduni zetu ka watanzania
 
Kumbe upo Dar, jioni nitafute nikupe kuku choma
 
Nakumbuka nilimsaidiaga bi dada mmoja kumpakata mwanae ktk daladala,katoto kalinimwagia kojo kiasi kwamba hadi leo sipakati mtoto wa mtu na sikai siti za karibu na mlangoni.
 
Kuna bahati mbaya..itategemea na response ya mwenyewe mtoto.
swadakta mkuu mie huwa sishangai mtu asipotoa msaada hata ka alistahiki maana nimeona mengi ambayo yamefanya watu wasitoe msaada, binafsi siwezi pakata mtoto wa mtu kwa daladala bora nimwache akae nikiona kumwache akae kwangu itaniumiza sihangaiki nae
 
Nakumbuka nilimsaidiaga bi dada mmoja kumpakata mwanae ktk daladala,katoto kalinimwagia kojo kiasi kwamba hadi leo sipakati mtoto wa mtu na sikai siti za karibu na mlangoni.
pole mkuu hivyondivyo visa ambavyo nami vinanifanya nikimbilie viti vya nyuma ama kwa dereva pemben 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hilo jina nikadhani dume kumbe ke jamani mbadilike mtakosa vingi
 
Mimi tabia ya wanaume kujibananiza kwenye makalio inanichefuaga sana.
Wanaume wenye izo tabia jirekebisheni
 
Ukiacha wema na roho mbaya,me binafsi nna kanuni yangu kwenye daladala,kuna wakati mtu unaamua kutembea kuzifuata gari ili ukageuze na upanda kwa shida sana na nauli unalipa mara 2. Unapata sehemu ya kukaa,anapanda mdada akiwa na mtoto na gari anaiona imejaa kupita kiasi. Huyo hata iweje,sipakati mtoto wala kumpisha kwa sababu hapo ni mwanzo wa gari. Aendelee kukaa mpaka apate gari yenye nafasi. Yaani siku hizi wenye watoto wanafanya kusudi kabisaaa! Mfano upo gerezani mchana,gari zinapakia kwa foleni,gari inajaa watu wote mmekaa kwenye sit unashangaa anapanda mtu na mtoto mgongoni na gari zingine zipo zinapakia,aisee! Huyu naye kwangu hata awe mjazito akafie mbele simpishi abadan..maana angeweza kupanda inayofuata na kukaa ana haraka gani!?? Abiria pekee nnaoweza kuwapisha ni wale wa vituo vya njiani maana wao hawana ujanja kila gari lazima ipite imejaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…