Daladala zagoma Moshi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daladala zagoma Moshi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msnajo, Mar 4, 2011.

 1. m

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,200
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Wadau kumekua na tatizo la usafiri na watu wameteseka sana. Wanye daladala wanadai kupandisha nauli. Ndg zanguni kila kukicha afadhali ya jana. Sasa cjui tuende kwa nani. Huko Paris nako wakuu wamesinzia mkutanoni. Yote shida tu,. Nawakilisha wandugu wana Jf. Twende kazi
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,831
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  kidumu chama cha makunduzi
   
Loading...